Wanaume wabaya sana

Wanaume wabaya sana

kwa hiyo hizo boxer ulizokuwa umeniletea na ile perfum unampelekea nani siungeuliza huyu ni nani kuliko kuondoka na kuja kunihukumu huku bila kunipa nafasi ya kujitetea mai.....yule ni mdogo wangu yaani mtoto wa shangazi binamu yangu wala sikuwa na nia mbaya na alifanya vile kujua utareact vipi
 
Hellow lovers,

Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Sasa wewe si unava vya kwake. Ngoma suluhu
 
Hapo sitii neno ila jitahidi kutulia ukiwa kwenye hii Hali ya uchungu usije kutumbukia kwenye sakata lingine.
 
Hellow lovers,

Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.

🤣🤣🤣
 
kwa hiyo hizo boxer ulizokuwa umeniletea na ile perfum unampelekea nani siungeuliza huyu ni nani kuliko kuondoka na kuja kunihukumu huku bila kunipa nafasi ya kujitetea mai.....yule ni mdogo wangu yaani mtoto wa shangazi binamu yangu wala sikuwa na nia mbaya na alifanya vile kujua utareact vipi
Mbona sikujui kaka angu
 
Hapo sitii neno ila jitahidi kutulia ukiwa kwenye hii Hali ya uchungu usije kutumbukia kwenye sakata lingine.
Na anaelekea kwenye sakata jingine, inawezekana akaingia kwa hasira na kupata majuto zaidi. She needs a very psychological advice
 
Eeh kumbe umeshaoa mkuu na unataka kuongeza mchepuko?😆 Embu mtupe nafasi sisi masingle tupate wakushare nao maisha 😄😄

Wachuchu wapo wengi sana, kila mwanaume anaweza miliki hata watatu...

Kumbuka idadi ya machoko imekuwa kubwa, inabidi kuwasitiri wachuchu...
 
huo sio bali ni uzuri wa wanaume, sasa kama umeanza tabia mbaya ya kutembea bila taarifa ulitaka ukute kipi. ukiwa mwema na maisha yanakuwa mema kabisa. Enzi hizo tulifundishwa haya machache... 1. ukitembea usiku usiangalie mbali zaid ya sehemu unayopiga hatua, usiangalia kushoto au kulia au mbele mbali zaidi. 2. taarifa ni kitu salama zaidi katika maisha hasa ya kisasa 3. epuka njia yeyote ambayo itakufanya utengeneze uadui na majeraha moyoni mwako. 4. Tengeneza urafiki wenye tija kwako.
 
Tulikubaliana zawadi iwe leso na soksi. Ona sasa wewe ukapeleka khanga na t.shirt now unateseka🙆
 
Wachuchu wapo wengi sana, kila mwanaume anaweza miliki hata watatu...

Kumbuka idadi ya machoko imekuwa kubwa, inabidi kuwasitiri wachuchu...
Haha wenye nguvu za kutosha wacha tujiongeze mkuu.
 
Pole sana
Ndo maisha

Jipe muda utasahau na utapenda tena
 
Back
Top Bottom