Ashangedere
Senior Member
- Aug 9, 2010
- 119
- 32
Nafikiri ninavyofikiria hapa sijakoseaSafi kumbe wewe sio tegemezimie sisubirigi afanye,
Nataka nijue vyovyote vile ndio inakuwaje nataka nione mfano halisinikijickia kufanya nafanya vyovyote vile ninavyojickia bila kuvunja sheria
,Nafikiri huyo mwenza kwenye chama yupo ngoja nifuatilie kadi yake ni namba ngapic wangu bwana bac nipo nae free na anatakiwa nae ajibu mapigo kama hataki kec
...Hizi shughuli ni zuri sana uwe una mruhusu mara kwa mara kwenda kwenye hizi hafla.na kweli kwenye wedding mabusu kibao ngoja leo mpo kwenye cjui party ya ofc
,yupo busy na colleagues, hapo hapo na mie ndio nabana.
Jamani,
wanawake wananiboa,
wanataka kila kitu aanze mwanaume kufanya.
Utafikiri wao ni vipofu, viziwi, viwete, na wana ulemavu wa namna zote
Jamani,
wanawake wananiboa,
wanataka kila kitu aanze mwanaume kufanya.
Utafikiri wao ni vipofu, viziwi, viwete, na wana ulemavu wa namna zote
tatizo wanaume wa kitanzania eti ukiwa bize na wife washkaji wanakwambia mwanamke anakuendesha,anyway mi kama nataka unibebe unikumbatie unikiss anywhere u must do,thats the meaning of love,love has no limitation ch muhimu ni kuangalia tu mpo katika situation gani
baadhi ya wanawake wanaogopa kushushuliwa kwani unakuta walishajaribu sikumoja wakashushuliwa so wanakuwa wanyonge japo wanapenda na wanaogopa kuanzisha
ukiona hivyo ujue hiyo ndoa ni kongwe ina miaka zaidi ya mitano, ndoa kongwe zina visa sasa si bora hao walikaa pamoja kuna nyingine unasikia mtambulishaji anasema baba mdogo na mkewe popote mlipo tunaomba msimame unakuta baba mdogo anasimama mbele ya ukumbi na mkewe anasimama upande wa pili kabisaHii sredi nimeipenda, mi siku moja nimeenda kwenye arusi nakutana na mshkaji yuko na waif wake hadi arusi inaisha hawajaongea, kama vile haitoshi ilipofika muda wa msosi waifu akazuga kwenda msalani, aliporudi akaunga foleni nyuma ya hubby wake kama mtu wa tatu, sikuipenda kabisa ile. Kama vipi si wangeacha kuja tu. Ila jamaa alikuwa anautafuta ukaribubila mafanikio.
ukiona hivyo ujue hiyo ndoa ni kongwe ina miaka zaidi ya mitano, ndoa kongwe zina visa sasa si bora hao walikaa pamoja kuna nyingine unasikia mtambulishaji anasema baba mdogo na mkewe popote mlipo tunaomba msimame unakuta baba mdogo anasimama mbele ya ukumbi na mkewe anasimama upande wa pili kabisa
Let it be that way and it shouldn't changeasalaam aleykum wanajamvi, kuna jambo huwa linanitatiza saaana kuhusu ndoa nyingi (si zote) za kitanzania.
Baadhi ya wanawake na wanaume wengine wagumu kama mihogoHivi kuenda na mke wako kwenye sherehe na kukaa nae ni kinyume cha maadili yetu???
Wengine wamerithi kuna rafiki yangu aliniambia tokea amewafahamu wazazi wake hajawahi kuona hata siku moja wameshikana mikono kila mtu kivyakeKumshika mke wako mkono mbele ya watu hata kama watoto wapo ni kinyume cha maadili yetu??? au ni kuwafundisha watoto wawapende na kuwathamini wenzi wao pindi wa kiwa wakubwa???
Wengi ukifanya hivyo utaambiwa umelogwa au umetupiwa kitu na mwanamkeKumuweka mke wako mbele kuliko marafiki na ndugu mfano: Rafiki anakuambia muende somewhere kuhave fun ukimwambia uko busy na wife ni kinyume na maadili??Ukiona hivyo ujue mapenzi au ndoa tayari imeishachakachuliwa na small house inafanya kazi kwa niaba yakokuna jambo lingine linanishangaza saaaaana, siku ya harusi tunashikana mikono kanisani, tunakula keki moja tena twalishana na mdomo, tunadance ziro distance mbele ya umati lakini baada ya hapo yote yanakuwa KINYUME NA MAADILI, hapo kanisani kila mtu anakaa upande wake, kushikana mikono kushney,kwenye sherehe kama hamjuani no kudence no romance, no what, naombeni wanaume hapa jamvini mniambie why this is happening....
Tunajua lakini it BEGINS WITH YOU vile vileJe mnajua howmuch your wives wanapenda romance???
.I can assure you women love romance more than anything else, we love displaying affection kwenye public japo kwa mipaka. Plz wanaume naombeni views zenu on this
Ila kiukweli jamani kushikana mikono kwenye harusi au mkusanyiko wa watu ni ujasiri, unless ni katika vipindi vya kutegana (initial stages za uhusiano). Nazionaga sana chuoni kwa wenzangu wa UDSM wanakumbuka njia flani ya Yombo kuelekea Hall 4 na Hall 3 ndio mambo hayo kwa sana. Malizeni chuo afu mkutane kwenye harusi au matukio mengine na wahusika, kwa bahati wawe walioana, unakuta kimyakimya kama sio wao. Izi mambo ni noma.
Ukiona hivyo ujue hakupendi ulilazimisha kuolewa. Wanawake wengi wa tz wanatabia ya kulazimisha ndoa na mtu anaweza hata kubeba mimba ili mradi aolewe so kwa kufanya hivyo unakuwa umelazimisha ndoa na ndio maana mambo kama hayo yanatokea. Kama mtu alikuoa akiwa amedhamiria na sio kulazimishwa hawezi kukushushua matokeo yake atafurahia. Na sio hilo tu hata infidelity haiishi kwa sababu ya mambo kama hayo ya kulazimisha ndoa.
Utakuta ndoa ni ya mtu wa karibu na mnatakiwa wote muwepo. Nyumba hizi zinaficha mengi sana kuna jamaa niliwahi kuwaona wametoana out wenyewe pale Girrafe Hotel sijui walikuja kusuluisha ugomvi basi walikaa pale hawakuongea mwanzo mwisho na baada ya m/mke kumaliza chakula akamwambia jamaa maliza haraka tuondoke jamaa akamwambia usini-force kula haraka kilichofuata yule dada akabeba funguo za gari akanyanyuka akamwambia utanikuta kwenye gari. Yule m/ume alikasirika halafu watu kibao waliona ile movie ilivyoenda baadae akaagiza mzinga wa konyagi kubwa akaunywa kama juice ulivyoisha akatoka kumfuata mwenza wake kwenye garihaki ya nani Funzadume wewe hamnazo, nimecheka sana, ndoa zina mambo jamani, sasa walilazimishwa kwenda huko, ingekuwa mi ni bora nisiende kabisa.