Wanaume wa Tanzania na romance

kwa kweli ndoa ngumu, mie kuliko nitoke na mwenzangu niyafanye hayo ni bora nictoke kabisa, na nikiamua kutoka hata kama nina hacra nitaivumilia nisiharibu mtoko then hayo m engine yataendelea badae.....nyumba hizi khaa.

Nyama maoni yako hadi yananipa mvuto wa kutuma posa, bahati mbaya hakuna mitala ya wanaume,haa haa haaaaaaaaaaaaa (JK)
 
asalaam aleykum wanajamvi, kuna jambo huwa linanitatiza saaana kuhusu ndoa nyingi (si zote) za kitanzania.
Hivi kuenda na mke wako kwenye sherehe na kukaa nae ni kinyume cha maadili yetu???
Kumshika mke wako mkono mbele ya watu hata kama watoto wapo ni kinyume cha maadili yetu??? Au ni kuwafundisha watoto wawapende na kuwathamini wenzi wao pindi wa kiwa wakubwa???
Kumuweka mke wako mbele kuliko marafiki na ndugu mfano: Rafiki anakuambia muende somewhere kuhave fun ukimwambia uko busy na wife ni kinyume na maadili?? Kuna jambo lingine linanishangaza saaaaana, siku ya harusi tunashikana mikono kanisani, tunakula keki moja tena twalishana na mdomo, tunadance ziro distance mbele ya umati lakini baada ya hapo yote yanakuwa kinyume na maadili, hapo kanisani kila mtu anakaa upande wake, kushikana mikono kushney,kwenye sherehe kama hamjuani no kudence no romance, no what, naombeni wanaume hapa jamvini mniambie why this is happening.... Je mnajua howmuch your wives wanapenda romance??? I can assure you women love romance more than anything else, we love displaying affection kwenye public japo kwa mipaka. Plz wanaume naombeni views zenu on this.

timbwili timbwili la asha ngedereee tukutuku
 
Jamani romance hizi romance jama taratibu hisije ikawa picha la kihindi sterling kafa kwenye maua picha the end yaani tuangalie
 
Naona watoa maoni wamezeeka! Kwetu sie vijana mambo bul bul, kama we unampenda mwenzi wako uko huru kumshika mkono na kufanya chochote (kisichovunja sheria) Tena nyie mnaojiskia noma kweupe ndio wanafiki wenyewe, halafu au ndo mnangojea giza au umeme ukatike, aisee hadi giza mambo ya long time aisee! Ni dalili za kuzeeka na uongo!
 
Tukubali tukatae mapenzi yananoga yakionyeshwa kwa vitendo. Mtu ukae na mkeo hata usimwambie I love you assuming that anajua nampenda ni kosa kubwa sana! Tena wanandoa mnamuogopa nani? Kuna vijana wadogo ambao wako kwenye siasa wameoa au wana uhusiano lakini hata siku moja huwezi wajua wenza wao. Najiulizaga hawa hawajaoa au hawajatulia. Yaani wanazidiwa na wazee walioko kwenye siasa kwani tunawajua wake zao. Kuna mmoja tu ambae namkubali, Jerry Slaa. I always see him with his wife in all public occasisions. Keep it up my bro!
 
kweli mkubwa buji,m n mzazi mpya kdogo kwenye haka kamtandao ila napenda kula fleva na wadau mdomdo,hao mabant wanajkuta hawaelew au pande hzo niaje??
 
baadhi ya wanawake wanaogopa kushushuliwa kwani unakuta walishajaribu sikumoja wakashushuliwa so wanakuwa wanyonge japo wanapenda na wanaogopa kuanzisha
Ndugu zangu mnazunguka sana ngoja niwape ukweli wetu wanaume!!
!./Wengi wetu tulijikuta tunaoa kwa bahati mbaya kabisa yani unambebesha mwenzio tumbo then unang'ang'aniwa
2./Unajikuta imekuwa influenced tu hadi unaoa bila kujijua!!
3./ushamba unatusumbua na hatuajiamini
4./Wengi wetu ni vicheche balaa so unakuwa na mkeo sometimes unaogopa hadi vicheche vyako vikiona sijui utajiteteaje!!
5.Mapendekezo:
Nawaombeni wanaume wenzangu tujitahidi kuwapenda wake zetu na kwa wale ambao hawajaoa basi wajitahidi kuchagua yule ambae roho zao zitakuwa zimeridhia na sio kulazimishana au kushawishiana.Mwisho kabisa nigependa tuwe Proud na wake zetu mbele ya jamii zetu!!
Tujiachie jamani na wake zetu sasa ukiona noma/aibu mbele za watu unataka nani akufanyie!!
samahani kama nimewagusa!!mtoa mada BIG UP!!umeongea ukweli mtupu dah!!
 
asalaam aleykum wanajamvi, kuna jambo huwa linanitatiza saaana kuhusu ndoa nyingi (si zote) za kitanzania.
Hivi kuenda na mke wako kwenye sherehe na kukaa nae ni kinyume cha maadili yetu???
Kumshika mke wako mkono mbele ya watu hata kama watoto wapo ni kinyume cha maadili yetu??? au ni kuwafundisha watoto wawapende na kuwathamini wenzi wao pindi wa kiwa wakubwa???
Kumuweka mke wako mbele kuliko marafiki na ndugu mfano: Rafiki anakuambia muende somewhere kuhave fun ukimwambia uko busy na wife ni kinyume na maadili?? kuna jambo lingine linanishangaza saaaaana, siku ya harusi tunashikana mikono kanisani, tunakula keki moja tena twalishana na mdomo, tunadance ziro distance mbele ya umati lakini baada ya hapo yote yanakuwa KINYUME NA MAADILI, hapo kanisani kila mtu anakaa upande wake, kushikana mikono kushney,kwenye sherehe kama hamjuani no kudence no romance, no what, naombeni wanaume hapa jamvini mniambie why this is happening.... Je mnajua howmuch your wives wanapenda romance??? I can assure you women love romance more than anything else, we love displaying affection kwenye public japo kwa mipaka. Plz wanaume naombeni views zenu on this.

daaah mi ndo nime log in niandikepost kama hii ila poa ishafika ujumbe... hata sijui inakuaje mie naona tamaduni zetu zina tait iala sio ishu sana coz tamaduni zenywewe ndo kama hivyo zishaanza kupotea mie na prefer mabadiliko.... romance muhimu wazeeee kwana lina leta raha na kudumisha ndoa umeonaaaaeeeeh?
 
Utakuta ndoa ni ya mtu wa karibu na mnatakiwa wote muwepo. Nyumba hizi zinaficha mengi sana kuna jamaa niliwahi kuwaona wametoana out wenyewe pale Girrafe Hotel sijui walikuja kusuluisha ugomvi basi walikaa pale hawakuongea mwanzo mwisho na baada ya m/mke kumaliza chakula akamwambia jamaa maliza haraka tuondoke jamaa akamwambia usini-force kula haraka kilichofuata yule dada akabeba funguo za gari akanyanyuka akamwambia utanikuta kwenye gari. Yule m/ume alikasirika halafu watu kibao waliona ile movie ilivyoenda baadae akaagiza mzinga wa konyagi kubwa akaunywa kama juice ulivyoisha akatoka kumfuata mwenza wake kwenye gari


dah nimecheka sana. duh ndoa

 
Wife ananafasi ya pekee kuliko ya yoyote yule,ni malkia huyo!
 
Back
Top Bottom