Wanaume wa Tanzania na romance

Kuna baadhi ya mambo yes ni mimi mengine kutoka kwa rafiki zangu tukiongea.
ok, pole sana kwa experience hiyo... unamiss kweli mapenzi

kuna chama cha wana infii unakaribishwa sana aisee... ada ya uanachama ataku-PM katibu na nakuombea sana mafanikio ndani ya chama
 
Heheheheheeeee ushindwe katika jina la yesu... LOL not ready for that chama.
 
Utakuta ndoa ni ya mtu wa karibu na mnatakiwa wote muwepo. Nyumba hizi zinaficha mengi sana kuna jamaa niliwahi kuwaona wametoana out wenyewe pale Girrafe Hotel sijui walikuja kusuluisha ugomvi basi walikaa pale hawakuongea mwanzo mwisho na baada ya m/mke kumaliza chakula akamwambia jamaa maliza haraka tuondoke jamaa akamwambia usini-force kula haraka kilichofuata yule dada akabeba funguo za gari akanyanyuka akamwambia utanikuta kwenye gari. Yule m/ume alikasirika halafu watu kibao waliona ile movie ilivyoenda baadae akaagiza mzinga wa konyagi kubwa akaunywa kama juice ulivyoisha akatoka kumfuata mwenza wake kwenye gari
duu jamaa atakuwa alikuwa na kiu sana
 
sipati picha kilichofata baada ya hapo na hivi mens hawapendi kudhalilishwa mbele za watu!
 
Hayo mambo yanatofautiana kati ya ndoa na ndoa.Haiwezekani na sio vizuri kututia wanaume wote katika kundi hilo wakati saa zingine tunapenda sana kuonesha malavidavi lakini wenzetu wanatuangusha.Mfano ni jamaa yangu mmoja alikuwa na mke wake mjini basi akajaribu kumshika mkono mkewe, huyo mwanamke alivyoruka na kumsukuma mumewe!Hebu tangulia huko tunakaa tunashikana shikana mikono tu na majasho haya?Sasa hapo utamlaumu mwanaume kama asipomuonesha hayo mambo mkewe siku nyingine?
 
Mdau uliyosema ni kweli kuna wanawake baadhi ambao hawapendi, lakini nina uhakika sikusema wanaume wote..
 
Hayo mambo yanatofautiana kati ya ndoa na ndoa.Haiwezekani na sio vizuri kututia wanaume wote katika kundi hilo wakati saa zingine tunapenda sana kuonesha malavidavi lakini wenzetu wanatuangusha.
Mfano ni jamaa yangu mmoja alikuwa na mke wake mjini basi akajaribu kumshika mkono mkewe, huyo mwanamke alivyoruka na kumsukuma mumewe!Hebu tangulia huko tunakaa tunashikana shikana mikono tu na majasho haya?Sasa hapo utamlaumu mwanaume kama asipomuonesha hayo mambo mkewe siku nyingine?
Hapo baadae mwanamke anaanza kulalamika eti aunionyeshi mapenzi hii si kwa wanawake tu hata wanaume mimi napenda sana mkiwa barabarani au popote pale haijalishi nani anawaona jiachieni show that you love each other haya mambo ya kutangulia mbele kama mshambuliaji halafu mwingine yuko nyuma kama beki siyapendi utafikiri mmetoka gesti
 
Nadhani home kulikuwa ni vita ya Israel na palestina
sijui ilikuwaje huko walikotoka, ndio maana ukiona wanandoa wanaenda kazini kwenye magari yao ni full kununiana wanaokolewa na kina Gerard Hando na PJ asubuhi au Gardner na Kibonde jioni ndio wanawasababishia tabasamu kidogo kwa maneno yao redioni
 
Hapo baadae mwanamke anaanza kulalamika eti aunionyeshi mapenzi hii si kwa wanawake tu hata wanaume mimi napenda sana mkiwa barabarani au popote pale haijalishi nani anawaona jiachieni show that you love each other haya mambo ya kutangulia mbele kama mshambuliaji halafu mwingine yuko nyuma kama beki siyapendi utafikiri mmetoka gesti
hapo pekundu umenikumbusha mbali kweli kuna jamaa mmoja kipindi hicho bwana mdogo alienda guest na kibinti walikuwa wote form one, basi jinsi ya kuingia alitangulia yule mvulana baadae akafuata msichana pale mapokezi wote wametokea kona tofauti mhudumu ikabidi awahoji kutokana na umri wao mdogo lakini baadae akawaruhusu

sasa walipoingia ndani wakafanya mambo yao muda wa kutoka ikawa jioni na ile guest ilikuwa na baa mbele yake na watu kibao wamejaa. Wale watoto kutoka ikawa mbinde na muda umekwenda ikabidi mvulana atoke saa 12 jioni yule binti akatoka saa moja jioni
 
ok, pole sana kwa experience hiyo... unamiss kweli mapenzi

kuna chama cha wana infii unakaribishwa sana aisee... ada ya uanachama ataku-PM katibu na nakuombea sana mafanikio ndani ya chama
Safi sana mjumbe...Katibu, hebu nukuu hii yuziful material!

Heheheheheeeee ushindwe katika jina la yesu... LOL not ready for that chama.
Wewe, hilo jina haliendani na hii sredi, jina lako, na tabia yako! hebu leta ada yako ya Septemba. We mwanachama wetu, acha kuzuga watu hapa!
 
Kwamimi nisiye kwenye ndoa najaribu kuangalia hapa nitachangia vipi? any way siyo lazima nichangie:A S 13:
 
nina mpango wa kufungua kampuni kwa ndoa zenye matatizo kama haya!.. nitatoa elimu sahihi ya ndoa.. mtafurahia mapenzi yenu!
 
Kwamimi nisiye kwenye ndoa najaribu kuangalia hapa nitachangia vipi? any way siyo lazima nichangie:A S 13:
ezan hiyo picha kwenye avatar yako si la kuzaliwa nalo huyo ni mchina 100%
 
vunja ukimya ....

siku ukijiskia unataka maua ......mpigie simu umwambie leo usirudi home mpaka uje na maua! yanini kujikera kwa kutaka mwanamme afahamu ile inaitwa 'ilmu lghayb' (elimu iliyojificha) ya kusoma mawazo yako?

I love Gaijin's posts.
 
No time to weste.tupobusy na hela.
Babu wewe ndio ume-cut the chase..

Wanawake wana mambo, ukiwa bize unasaka noti watalaumu, ukiwa alosto umechoka unazagaazagaa home watakuita baba suruali, ilimradi kero yaani ni continuous struggle ad infinitum.
 
ok, pole sana kwa experience hiyo... unamiss kweli mapenzi

kuna chama cha wana infii unakaribishwa sana aisee... ada ya uanachama ataku-PM katibu na nakuombea sana mafanikio ndani ya chama

:pound::pound::pound::pound:
 
Safi sana mjumbe...Katibu, hebu nukuu hii yuziful material!

Wewe, hilo jina haliendani na hii sredi, jina lako, na tabia yako! hebu leta ada yako ya Septemba. We mwanachama wetu, acha kuzuga watu hapa!

Watu mmepinda humu ndani!!, kwani ASHA hawezi kumtukuza yesu??? au hiyo ngedere?? mbona kuna watu wanaitwa nyoka, simba, Punda, Jongoo na ni wakristo wazuri?!!!
 
masuala ya kushikana sijui kubusiana au kukumbatiana hadharani si masula ya ajabu.unless uniambie huyo uliyenaye umemwiba,yaani wewe mwanaume au mwanamke ni mwizi. lakini hata ukiwa mwizi siku wala hatuogopi tena tumeshajihalalishia wenyewe.
so mimi nadhani we mkumbatie tu au shikaneneni. aftre all you guys are lovers!!!!
 
Back
Top Bottom