Wanaume wa Tanzania hawajui kutongoza

Wanaume wa Tanzania hawajui kutongoza

mi msandawe miaka 49, usiwe na shaka........sitongozi desturi yangu ni kuhonga tu.
mfano. binti nampa ofa ya lunch, bia au chochote na naulizia mchezo. simple tu

sasa hivi hela hamna ninaisoma namba
Shikamoooo msandawe
 
Haka katakuwa kabinti kanachanganywa na tamthilia za akina Malichui, The promise na La muja de mi vida ahahaaa aiseee.
 
Hahahaa bestie we noma,nikishakupa hints mtaani watakukoma
Teh teh...Usinifanyie hivyo bana..Kumbe kuna kipindi mnakutana na mitongozo ya maana hadi mnaenjoy teh..Nilikuwa sijui
 
Huyo anayekutongoza naye kakosa kazi, wakati mambo ya kutongozana sikuhizi hayapo, siku hizi unauliza ratiba imekaaje akikwambia yupo free w'end basi unamualika dinner hotel kali their after dinner na vinywaji kadhaa mnaenda kupumzika.
Halaf namwambiaje ss twende tukapumzike au nikufanye hapo ndo pagumu
 
Wakatongoza wanaongea uongo uongo mbaya ukigundulka unaachwa, mwingine anatongoza huku anakuita mdogo wangu au dada.

Sasa angekuwa dada yako au mdogo ako ungemtongoza? Kama mdogo wako kwanini unitongoze, kukosa adabu.

Umetongozwa na wanaume wote Tanzania nzima hadi ukajua kuwa wanaume wa Tanzania hawajui kutongoza?
 
Kutongoza hakuna njia maalumu eti lazima ufanye hivi ndiyo itaitwa unajua kutongoza, kila mtu ana mbinu yake cha muhimu anaetongozwa, ajue kinachoeendelea mwanamme anataka nini. Wapo waliotongoza kwa kuwapokea tu mzigo wa kuni mpenzi/ mke mtarajiwa, leo ni wapenzi au wameoana kabisa. Mimi enzi hizo nilikua mpiga picha siku moja nikawapiga picha akina Dada waliokua wamekaa kikundi, nikijua picha zikitoka sitokosa wakuipenda na akailipia. Siku nimepeleka ile picha nikaitwa na kijana mmoja pale, akaniambia kuna Dada yuko hivi siku ilivowapiga picha alikupenda sana uchangamvu wako amenituma nikuambie. Siku hawajakuambia uwapige picha ukawapiga anataka akupe penzi. Sasa hebu ona kumbe nilimtongoza kwa uchangumvu tu, nina mifano mingi sana jinsi watu walifowapata wapenzi wao ambao wengine hivi sasa ni wanandoa ila haitoshi kuandika hapa.
 
Teh teh...Usinifanyie hivyo bana..Kumbe kuna kipindi mnakutana na mitongozo ya maana hadi mnaenjoy teh..Nilikuwa sijui
Wee kuna mitongozo ni shidaa,unatamani asimalize,teh...na hio siku utakuwa na kifuraha tu isiyo na sababu..mitongozo ni muhimu kiafya....
 
Wee kuna mitongozo ni shidaa,unatamani asimalize,teh...na hio siku utakuwa na kifuraha tu isiyo na sababu..mitongozo ni muhimu kiafya....
Mtoa mfano basi nasi tupate uzoefu, maana mi zangu nikimzimikia mwanamke, huwa nanunua kitu cha kike kike tu nampatia, akikubali kupokea tu ameliwa.
 
Wee kuna mitongozo ni shidaa,unatamani asimalize,teh...na hio siku utakuwa na kifuraha tu isiyo na sababu..mitongozo ni muhimu kiafya....
Teh teh..Hujatulia ww..Basi ngoja tuongezee juhudi za kuwatongoza..Dokta ameshathibitisha hilo
 
Kwani siku hizi kuna cha kutongoza? ni kujivutia tuu tena kiulainiiii....... wanawake nowdys wamekuwa simple minded
 
Back
Top Bottom