Wanaume wa Tanzania hawajui kutongoza

Wanaume wa Tanzania hawajui kutongoza

The Woman Who Made This Thread Is A B*tch,Imbecile And A Moron She Does Not Deserve Our Attention Fellow Men.
She Is Either A Homosexual Or She F*cks Pigs Dogs And Other Animals.
 
Kwisha habari yake siku nyingine aje na kauli nzuri
 
Wakatongoza wanaongea uongo uongo mbaya ukigundulka unaachwa, mwingine anatongoza huku anakuita mdogo wangu au dada.

Sasa angekuwa dada yako au mdogo ako ungemtongoza? Kama mdogo wako kwanini unitongoze, kukosa adabu.
Ha ha ha haaaaa. Ooooh Yeah....!
 
Sikumbuki ni lini nilitongoza bali siku hizi naona wakijipanga foleni wenyewe wakiniomba nusu saa tu wawe nami. Wewe upo wapi bidada angalao nikusalimie tu nkipitia kwenu. Unajitapa ati wanaume Tz nzima hawajui, inaonesha umezoea kupark kule JKN au kule coco ukiwaangazia hao wanyamwezi tu sio?? Ni aibu kujivunia ukahaba wa coco
 
We ulikuwa unataka utongozwaje. We si ndo ambae hutaki shule unataka kuwa model ama kweli kuwa na mtoto mwenye akili Kama huyu ni hasara.
Hahaaa umenikumbusha mkuu... Sasa kwa huu uandishi shule itapanda kweli??? Kaazi kwelikweli
 
Kwa hiyo reasoning yako ipo ivi, kuna baadhi ya wanawake hapa dar wanatoa tigo, hivyo ndo tuseme "Wanawake wa Tanzania ni watoa tigo" au siyo my name is my name
 
Wakatongoza wanaongea uongo uongo mbaya ukigundulka unaachwa, mwingine anatongoza huku anakuita mdogo wangu au dada.

Sasa angekuwa dada yako au mdogo ako ungemtongoza? Kama mdogo wako kwanini unitongoze, kukosa adabu.
Vp yule mwl aliyetaka papuchi ulishampa?
 
Wakatongoza wanaongea uongo uongo mbaya ukigundulka unaachwa, mwingine anatongoza huku anakuita mdogo wangu au dada.

Sasa angekuwa dada yako au mdogo ako ungemtongoza? Kama mdogo wako kwanini unitongoze, kukosa adabu.
Acha ubwege ina maana wewe sample size yako ilikuwa ni ipi mpaka kusema wanaume Tanzania hawajui kutongoza, what type of study did you do?
 
Uandishi wako tu unatia shaka. Aibu yako
 
Weee hujakutana tu na wenye fani zao, kuna watongozaji wazuri hapa nchini usiombe! Tena wengi tu ...mtu anakutazama tu kwanza macho yake yanaongea kila kitu, anakwambia "mambo" kwa sauti nzito flani hivi ya kubembeleza, halafu anaongea .. dakika 10 hazifiki unatoa namba ya simu. Hehehe
Ukifika home ndio unagutuka 'damn! Nimempaje namba mtu simfahamu k' lol !!!
Hahahaa, napenda hizo moments kwakweli,maana unakua ka sio wewe hivi
 
Kwani wanatongozaje? Mi nahonga tu

Mi nakumbuka siku ya kwanza binti alitaka ndizi mbivu nikamnunulia mbili akala tukaondoka
mara nyingine nilitoa chipsi firigisi kwa binti mwingine nikabeba mzigo,
ya tatu chipsi kuku na soda kwa student mmoja nikang'oa mzigo
ya nne nililipia chumba, nikamnunulia godoro na kitanda basi ikawa nikitoka job lazima nipitie kusalimia
sasa hivi nimetoa vitz kwa binti mmoja aliyetoka U-Dom najilia kama nimeoa

Tatizo Magufuli kaharibu mambo humu katikati.....nyegy zote zimekata
Hapa napata shaka na umri wako na kabila lako? Eti nyeg zote zimekata haaaaaaaaaah
 
Hapa napata shaka na umri wako na kabila lako? Eti nyeg zote zimekata haaaaaaaaaah

mi msandawe miaka 49, usiwe na shaka........sitongozi desturi yangu ni kuhonga tu.
mfano. binti nampa ofa ya lunch, bia au chochote na naulizia mchezo. simple tu

sasa hivi hela hamna ninaisoma namba
 
Back
Top Bottom