Chakochangu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,668
- 2,174
waktongoza wanaongea uongo. uongo mbaya ukigundulka unachwa. mwngne anatongoza hku anakuita mdogo wng au dd. sa angekua dd ako au mdogo ako ungemtongoza? mi ukintongoza uknita mdogo ako nakutemea mate. km mdgo ako kwann untongoze. kukosa adab
Hongera na pongezi nyingi zikufikie.