Wanaume wa Tanzania hawajui kutongoza

Wanaume wa Tanzania hawajui kutongoza

Wakatongoza wanaongea uongo uongo mbaya ukigundulka unaachwa, mwingine anatongoza huku anakuita mdogo wangu au dada.

Sasa angekuwa dada yako au mdogo ako ungemtongoza? Kama mdogo wako kwanini unitongoze, kukosa adabu.
Kuna mdada mmoja wa kitanzania alikuwa anawafuja sana wanaume wa kitanzania baada ya kuachwa na mtanzania mweziwe. akisema hawapo romantics sijui wavivu sasa akabahatika kupata mzungu miezi kama sita alikuwa akiandika uzi hapa kila siku anatukana wanaume wa kitanzania. Baada ya miezi 6 yule mzungu aliwacha kazi akaanza kuwa mlevi na kuanza kumpiga kichapo yule mdada kila siku. Sasa kuna siku akampigia simu jamaa wa kitanzania amsaidie kutokana amechoshwa na huyu mzungu. Ninachojaribu kusema usifuje chako bila kujua cha mwenzako. Kule Kenya kuanza kukuita wewe dada kuja hapa. Na ukibahatika kwenda kwa kina Nyani ngabu na The Boss kule club zao kutongoza yao Let me f@%k dat pu$$y tonight.
 
Hahahaaaa! Kwani benki ina hela? Bila watu benki ingekuwepo? Nawataka hao wanaozipeleka huko benki.
Hahahaa, bado nakutafakari ni nanii atakufaa zaidi,mo dewji ,bakhresa ,manji etc maana hawa ndio wanaozipeleka benki wengine tunasindikiza tu....
 
Hahahaa, bado nakutafakari ni nanii atakufaa zaidi,mo dewji ,bakhresa ,manji etc maana hawa ndio wanaozipeleka benki wengine tunasindikiza tu....
Hahahaaaa! Kwann wasitokee akina hao wengine wengi zaidi ili choices ziwe nyingiiiii.
 
kwa hiyo baba yako alimbaka mama yako ukazaliwa au alimtongoza hadi akampa mimba ukazaliwa.
 
umejisahau uku sio facebook! nenda facebook watakuelewa! na hata like utazipata!
 
Back
Top Bottom