Wanaume wa Tanzania hawajui kutongoza

Wanaume wa Tanzania hawajui kutongoza

Mtoa mfano basi nasi tupate uzoefu, maana mi zangu nikimzimikia mwanamke, huwa nanunua kitu cha kike kike tu nampatia, akikubali kupokea tu ameliwa.
Kutoa mifano ni kumwaga siri za kambi,alafu pili wanawake tunatofautiana,wewe jitahidi tu kuwa creative wapo watakaopenda hakuna formula...
 
Teh teh..Hujatulia ww..Basi ngoja tuongezee juhudi za kuwatongoza..Dokta ameshathibitisha hilo
Hahahaa, kweli tena mwanamke asipotongozwa miezi mitatu mfululizo anaweza kuwa na hasira zisizoeleweka teh, inasaidia kupunguza stress,hata mamsap uwe unarudia kumtongoza atafurahi sana...jaribu utaleta marejesho,teh teh
 
Kutongoza hakuna njia maalumu eti lazima ufanye hivi ndiyo itaitwa unajua kutongoza, kila mtu ana mbinu yake cha muhimu anaetongozwa, ajue kinachoeendelea mwanamme anataka nini. Wapo waliotongoza kwa kuwapokea tu mzigo wa kuni mpenzi/ mke mtarajiwa, leo ni wapenzi au wameoana kabisa. Mimi enzi hizo nilikua mpiga picha siku moja nikawapiga picha akina Dada waliokua wamekaa kikundi, nikijua picha zikitoka sitokosa wakuipenda na akailipia. Siku nimepeleka ile picha nikaitwa na kijana mmoja pale, akaniambia kuna Dada yuko hivi siku ilivowapiga picha alikupenda sana uchangamvu wako amenituma nikuambie. Siku hawajakuambia uwapige picha ukawapiga anataka akupe penzi. Sasa hebu ona kumbe nilimtongoza kwa uchangumvu tu, nina mifano mingi sana jinsi watu walifowapata wapenzi wao ambao wengine hivi sasa ni wanandoa ila haitoshi kuandika hapa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hahahaa, kweli tena mwanamke asipotongozwa miezi mitatu mfululizo anaweza kuwa na hasira zisizoeleweka teh, inasaidia kupunguza stress,hata mamsap uwe unarudia kumtongoza atafurahi sana...jaribu utaleta marejesho,teh teh
Teh teh..Hiyo inaapply hadi kwa wanawake waliokuwa ndoani?
 
Hahahaa, kweli tena mwanamke asipotongozwa miezi mitatu mfululizo anaweza kuwa na hasira zisizoeleweka teh, inasaidia kupunguza stress,hata mamsap uwe unarudia kumtongoza atafurahi sana...jaribu utaleta marejesho,teh teh
Mie hizo dalili nazipata nikiwa sina hela aisee!
 
Wakatongoza wanaongea uongo uongo mbaya ukigundulka unaachwa, mwingine anatongoza huku anakuita mdogo wangu au dada.

Sasa angekuwa dada yako au mdogo ako ungemtongoza? Kama mdogo wako kwanini unitongoze, kukosa adabu.
Haahahahahah nani anakutongoza huku anakuita dada......unakereka eee!!!...
 
Back
Top Bottom