Wanaume wa sura hii kwa kuhonga mh…!

Wanaume wa sura hii kwa kuhonga mh…!

nkem2b.jpg


Unataka athibitishe nini wakati picha zinaongea....?


hapa naona anatuma hongo kwa MPESA. TAASISI YA KUPAMBA NA KUPOKEA RUSHWA INAMUHUSU (TAKUKURU) itamuhusu
 
Halafu Wanyakyusa ni ma SIKAFUNJE, hawahongo hata ukiwatisha kwa AK45, sisi Wasukuma hela ipo, juu pamba, chini madini, kushoto ziwa kulia mang'ombe... za kuhonga mbona zipi nyingi tuuuu.
kila mwanamke anatamani kuwa na bwana wa kisukuma -Haya sio maneno yangu ni ya Nazjaz

ndo maana mkiuza pamba na mchele sagula sagula minadani inapanda bei kwa sababu yenu na yale manguo yenu ya ready made.
 
Hahahaha!!! tena wanamaneno mengiiiiii sana, kiasi ukiwa umekaa naye sehemu wewe kubaliana tu na majisifu yake, mbele za watu, yaani ni vituko kwenda mbele alimradi watu wafahamu yupo hapo na anahela, Loh!!! Nina wasiwasi na Sura ya Mtambuzi, nahisi watakuwa wanfanana na Bujibuji.
 
hivi Erickb52 hakunaga jukwaa la salaamu??
Salamu ni kokote mnakikutana kitalolo
Unajua raha ya mazungumzo ni kusalimiana otherwise mtaishia kugombana maana hapatakuwa na upendo.
Chukulia mfano mzuri Jukwaa la siasa...kule ni nyuso za mbuzi na mitusi kibao ila huku ni salama na story then maisha yanaendelea mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom