ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Kaunga nilishasema nachukia sana SHIKAMOO....
Hapa kaopowa mzungu
View attachment 105352
Na hapa je, si unamuona na totoz...!
Chezea mwanaume anayejua kuhonga weye.....
![]()
Na hapa wife wako haelewi somo baada ya kupotea home kwako kwa siku tatu....
![]()
Ah wapi, hachunwi mtu, ukila vya watu lazima uliwe atiii....
Hapa ni mnyukano tu
![]()