hahahahaha umeweka mafuta ya kutosha ww afu mpitie Mtambuzi hana nauli ya kurudia kwake.
Salamu ni kokote mnakikutana kitalolo
Unajua raha ya mazungumzo ni kusalimiana otherwise mtaishia kugombana maana hapatakuwa na upendo.
Chukulia mfano mzuri Jukwaa la siasa...kule ni nyuso za mbuzi na mitusi kibao ila huku ni salama na story then maisha yanaendelea mkuu!