Wanaume wa sura hii kwa kuhonga mh…!

Wanaume wa sura hii kwa kuhonga mh…!

MadameX hujafunga wewe nikuonyeshe kipaji? Najua na wewe una kipaji cha upokeaji
16.jpg


Kweli wewe ni kiboko..
 
Halafu Wanyakyusa ni ma SIKAFUNJE, hawahongo hata ukiwatisha kwa AK45, sisi Wasukuma hela ipo, juu pamba, chini madini, kushoto ziwa kulia mang'ombe... za kuhonga mbona zipi nyingi tuuuu.
kila mwanamke anatamani kuwa na bwana wa kisukuma -Haya sio maneno yangu ni ya Nazjaz
Nkem+Owoh+%252B+Chika+Ike+%25281%2529.jpg


Nafurahi kuona kama sijakusingizia......
 
Mtambuzi mchokozi sana...itabidi wenye masikio hayo waweke super glue yatumbukie ndani
 
Mkuu Mtambuzi yote uliyoyaongea yanasapotiwa na Filamu moja ya Kinaijeria iitwayo Usofia In London. Hiyo sura utaiona humo na ndiye aliyeitwa London kwenda kurithi mke wa kizungu na mali za marehemu kaka yake aliyefariki.
 
Kumbe Bujibuji unahonga sana kama mimi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom