Wanaume wa siku hizi ni waoga kueleza hisia zao

Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.

Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa au hata Marekani. Lakini zamani unam-face mpaka kieleweke.

Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana tena.

Ishukuruni technology.
Ujasiri wa kumuelezea mwanamke hisia unatoka wapi wakati mifuko mitupu ukimaliza tu kuchukua namba mizinga inaanza unadhani wanaume ni ma bogus sio tatizo wanawake mmeweka tamaa ya pesa mbele.
 
Hata na hivyo kutongoza si mchezo hasa ukute mwanamke macho makavu!enzi zile wanawake walikua na aibu hakuangalii anajikunjakunja,mara kung'ata kucha,kuchuma majani na kuvunja vijiti na kumpa mwanaume ujasiri wa kutema madini tofaut na hawa kizaz juaji mixer K~VANT
Huyu Mimi kabisa navojuaga kumkazia mtu macho🤣🤣🤣🤣
 
Siku hiz nyie wanawake hamtaki kutongozwa talent mbona tunazo,, Ila hamtaki kuelezwa siku izi mnataka shortcut story, mazoea,out, kutembeleana kwisha
 
Ni kweli! Vijana wengi wa siku hizi ni waoga. Siku hizi wametuiga wanawake kuonyesha kwa vitendo kuwa nakupenda lakini jiongeze mwenyewe mimi sikuambii.

Wanajipitishapitisha, kucheka hovyo, kutuma msg kila mara.
@ephen_ unaonekana kisu na umejaaliwa neema za allah
 
Back
Top Bottom