Wanaume wa mjini

Wanaume wa mjini

Wanaume wa Dar hawana tofauti na Taifa Stars.., yani sifa yao Kuu wote ni Kichwa cha Mwendawazimu!!!
 
Jiwe gizani hiloo...!
Inawezekana umewafumania sehemu Muosha Rungu (Dj Sepetu) na mwenzie Beira baby...!

Hawa wawili wamekithiri kwa tabia hiyo...
 
wanapenda kujilemba Sana..unakuta mwanaume anabana sauti akiwa anatongoza sauti inatokea puani akifuatiwa na kujilamba midomo z
 
Kitu kinampa mtu sifa ya kuitwa mwanamme m najua jinsia ya kiume sio wote wanaume
 
Nilifkiri watakuwa wamebadilika bado wanavuka mwaka wakiwa wajingaaa
 
Hizi chuki zote hizi kisa wanaume wamepunguza au wameacha kuhonga. Over
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom