Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,099
Nimeelewa unawaongelea wa Dar....Mwanaume unafanyiwa pedicure na manicure, una nyoa kiduku na kupata Vaseline mdomoni. Una begi ndani lina hand lotion, nail cutter, tissue, deodorant na perfume bila kusahau wallet yenye 5,000 ya nauli.
Wanaume wa mjini mmnishinda tabia. Mnakwenda bar mnashare chips ya ndovu na mwenzako.

