Ninapenda wanaume wanaojali usafi wa mwili na kinywa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
Hongera zenu wa kaka na wababa mnaopenda usafi wa mwili na kinywa.
Unakuta mwanaume anaswaki asubuhi tu akiamka, baada ya hapo imetoka, mpaka kesho, jioni wakati wa faragha anataka tongue kiss, wakati mdomo umechacha jamani ni haki kweli? Tena hata mouth wash haijui ilivyo.

Mwanaume anaoga mara tatu kwa wiki, anakwambia uoge kila siku kwani umekuwa demu? Jamani, tena mara tatu zenyewe basi deodorant hatumii, hata kitu Lynx amacho ni universal to the majority jamani?

Akiamka asubuhi ananawa na kusafisha meno, akirudi chumbani Vaseline anatupia nyuma ya masikio, na mikononi kishkaji, ngozi inahitaji matunzo bandugu.

Usafi wa kinywa:
Asubuhi unapoamka, (ukiweza kila baada ya kula) na jioni kabla hujalala, tumia mouth wash kuskutua unapomaliza hii ina uhakika wa kuua bacteria waliobaki mdomoni pia inaongeza fresh breath, baada ya hapo ni muafaka wa kuanza kumpa tongue kiss mpenzi wako.

Kuonga ni muhimu kuoga asubuhi na jioni, baaday ya kuoga deodorant inasaidia kudhibiti harufu ya jasho, roll on inayotumiwa kila siku, inadumu mwezi mmoja mpaka mmoja na nusu, jamani katika mishe ya town utashindwa kupata pesa ya kuireplace? Utunzaji wa ngozi ni muhimu, hakuna ngozi ya kike wala ya kiume, ngozi inapendeza ipakwe lotion baada ya kuoga, na hii inakuepusha na ukakamavu wa ngozi.

Wanaponifurahisha mno kaka zangu ni pale wanaponawa mikono na kujikaushia kwenye makalio ya suruali, anasahau kabisa alikaa wapi kabla ya hapo:D:D. Wanaume wa zamani walitembea na hank kerchief kwenye mifuko yao ambazo ziliwasaidia kukausha mikono baada ya kunawa, lakini hapo utenge hank ya mafua na ya kukausha mikono.

Ijumaa Njema wakina kaka.
 
097010132143

:D
 
mdada umesikika.. usafi ni jambo jema.. kwa watu wa jinsi zote mbili.

ila sijui umefanyia utafiti wanaume wangapi, ukaja na hitimisho kama hilo...
halafu kama ulitaka kumsema "mtu" wako, hakikisha yupo humu jf pia ili sms iwe sent.
 
Mtoa mada naomba unieleweshe hapo kwenye lynx na roll on. Ndo vitu gani hivyo na vinapatikana wapi?
 
Hongera zenu wa kaka na wababa mnaopenda usafi wa mwili na kinywa.
Unakuta mwanaume anaswaki asubuhi tu akiamka, baada ya hapo imetoka, mpaka kesho, jioni wakati wa faragha anataka tongue kiss, wakati mdomo umechacha jamani ni haki kweli? Tena hata mouth wash haijui ilivyo.

Mwanaume anaoga mara tatu kwa wiki, anakwambia uoge kila siku kwani umekuwa demu? Jamani, tena mara tatu zenyewe basi deodorant hatumii, hata kitu Lynx amacho ni universal to the majority jamani?

Akiamka asubuhi ananawa na kusafisha meno, akirudi chumani Vaseline anatupia nyuma ya masikio, na mikononi kishkaji, ngozi inahitaji matunzo bandugu.

Usafi wa kinywa:
Asubuhi unapoamka, (ukiweza kila baada ya kula) na jioni kabla hujalala, tumia mouth wash kuskutua unapomaliza hii ina uhakika wa kuua bacteria waliobaki mdomoni pia inaongeza fresh breath, baada ya hapo ni muafaka wa kuanza kumpa tongue kiss mpenzi wako.

Kuonga ni muhimu kuoga asubuhi na jioni, baaday ya kuoga deodorant inasaidia kudhibiti harufu ya jasho, roll on inayotumiwa kila siku, inadumu mwezi mmoja mpaka mmoja na nusu, jamani katika mishe ya town utashindwa kupata pesa ya kuireplace? Utunzaji wa ngozi ni muhimu, hakuna ngozi ya kike wala ya kiume, ngozi inapendeza ipakwe lotion baada ya kuoga, na hii inakuepusha na ukakamavu wa ngozi.

Wanaponifurahisha mno kaka zangu ni pale wanaponawa mikono na kujikaushia kwenye makalio ya suruali, anasahau kabisa alikaa wapi kabla ya hapo:D:D. Wanaume wa zamani walitembea na hank kerchief kwenye mifuko yao ambazo ziliwasaidia kukausha mikono baada ya kunawa, lakini hapo utenge hank ya mafua na ya kukausha mikono.
Ijumaa Njema wakina kaka.
duuuh wik hii mbona tutakoma maana naona thread zetu haziishi
 
Mkuu Ukumbuke na kulipia tangazo. Umesahau kusema direction ya duka lako au mawasliano ya simu.
 
Hivi wa mikoani tumekosa nini kila Siku wa mikoani wa mikoani kisa tu tunakula vsalome manina zenu sisi huku miswaki inadawa toka mti ulipoumbwa soo nyie mpaka mtumie kioshea mdomo. Mti safi wa mswaki harufu hata hutosikia.Sky Eclate hebu njoo huku tuserebuke Uje unitekenye ukiwa unanyonga kamw salome.
 
Back
Top Bottom