Wanaume wa mjini

Wanaume wa mjini

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,353
Mwanaume unafanyiwa pedicure na manicure, una nyoa kiduku na kupata Vaseline mdomoni. Una begi ndani lina hand lotion, nail cutter, tissue, deodorant na perfume bila kusahau wallet yenye 5,000 ya nauli.

Wanaume wa mjini mmenishinda tabia. Mnakwenda bar mnashare chips ya ndovu na mwenzako.
 
Baadhi ya wanaume wa mjini wengi sana hawana tabia hizo za ajabu ajabu.

Mwanaume unafanyiwa pedicure na manicure, una nyoa kiduku na kupata Vaseline mdomoni. Una begi ndani lina hand lotion, nail cutter, tissue, deodorant na perfume bila kusahau wallet yenye 5,000 ya nauli.

Wanaume wa mjini mmnishinda tabia. Mnakwenda bar mnashare chips ya ndovu na mwenzako.
 
Tusipangiane.......
 
Do you,and let them do them.

Tatizo mtu akikupaka Vaseline mdomoni wakati wewe hutaki.

Lakini kajipaka mwenyewe? Mtu mzima si mtoto?

Ukimsema unaweza kuwa unamnyanyapaa katika uhuru wake na haki zake za binadamu.
 
Tunashare kutokana na hali ya uchumi bajeti ya miezi mitatu ya huko ulipo ni elfu ishirini na kiroba cha mahindi.

Utuache
 
Do you,and let them do them.

Tatizo mtu akikupaka Vaseline mdomoni wakati wewe hutaki.

Lakini kajipaka mwenyewe? Mtu mzima si mtoto?

Ukimsema unaweza kuwa unamnyanyapaa katika uhuru wake na haki zake za binadamu.
Tena wakishapaka vaselin mdomoni wa kuongea wanalamba lips zao
 
Teh vyuma vimekaza sky wallet zinashinda njaa nazo.

Creed Aventus na One million hatuziwezi tunacheza kwenye videodorant vya 4500 knoledge, belgio[spell]
 
Mwanaume unafanyiwa pedicure na manicure, una nyoa kiduku na kupata Vaseline mdomoni. Una begi ndani lina hand lotion, nail cutter, tissue, deodorant na perfume bila kusahau wallet yenye 5,000 ya nauli.

Wanaume wa mjini mmnishinda tabia. Mnakwenda bar mnashare chips ya ndovu na mwenzako.
Hahahaha ngoja waje na mapovu ya kufa mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom