Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Wanatuonea wivu tunavyo kula BATA za ukweli eheheheheWaambie MAMBULA HAO.
Wanatuonea wivu tunavyo kula BATA za ukweli eheheheheWaambie MAMBULA HAO.
Mkuu watacha wapi?,maana sasa wanakunywa uji wa chumvi kwa malimao dadadeki,ati MTAISOMA NAMBA,yaani ni full MAJANGA.Wanatuonea wivu tunavyo kula BATA za ukweli ehehehehe
Uki change dola 1,000 tu huwezi kuzibeba kwenye wallet inabidi wakuwekee kwenye mfuko wa rambo na unajaa manoti mekundu!Nchi imekuwa ya ajabu sana ileMkuu watacha wapi?,maana sasa wanakunywa uji wa chumvi kwa malimao dadadeki,ati MTAISOMA NAMBA,yaani ni full MAJANGA.
Yaani 21st century,wallet ni useless? halafu mijitu ooh tuna maendeleo,na sasa gas,petrolsiju madini gani etc etc,wamesahau nchi imeuzwa kwa mbwa,yaani shamba la bibi,watakalia kuwaona wazungu wanachota wanahamisha,halafu kazi kutembez bakuli kwa wakoloni,mchango,mchango,msaada,msaada wananchi wanakufa na njaa,wakat nchi tajiri kushinda Japan na America ukiziunganisha.Uki change dola 1,000 tu huwezi kuzibeba kwenye wallet inabidi wakuwekee kwenye mfuko wa rambo na unajaa manoti mekundu!Nchi imekuwa ya ajabu sana ile
Basi chkua tunzo hilo la 100 dolaar bill,na ukiongeaza tena na tena mimi naendelea kutunza 100 us daollar bill for kila ngurumo.Nimecheka mpaka nimejamba
Sasa kwa nini ulikwa unazunguka zunguka tu?,si ungesema tu,mbona mambo ya visa ya USA ni mteremko kama una god father?,basi nitaliwekea mkazo suala hili,halafu nitakujibu.Jamani anaejua jinsi ya kupata visa ya USA anijuze.
Duuh Mkuu ndio naiona hii leo,hakyanani nampanua aisee kiruuuuuuuuuu.Kiranja 007 kula hii kitu.
Nyoooo umpanue naniDuuh Mkuu ndio naiona hii leo,hakyanani nampanua aisee kiruuuuuuuuuu.
Sasa wanaunganisha nguvu kuchangia MADAWATI ehehehe!Tena hadi Regional Commissioner ukichangia madawati mengi anakupigia simu kukupongeza ehehehehehehYaani 21st century,wallet ni useless? halafu mijitu ooh tuna maendeleo,na sasa gas,petrolsiju madini gani etc etc,wamesahau nchi imeuzwa kwa mbwa,yaani shamba la bibi,watakalia kuwaona wazungu wanachota wanahamisha,halafu kazi kutembez bakuli kwa wakoloni,mchango,mchango,msaada,msaada wananchi wanakufa na njaa,wakat nchi tajiri kushinda Japan na America ukiziunganisha.
USA kwene kila uchafu wa dunia! Who would risk? Hell NO!
Basi mamii,nilikuwa natania tu.Nyoooo umpanue nani
Very funny.Sasa wanaunganisha nguvu kuchangia MADAWATI ehehehe!Tena hadi Regional Commissioner ukichangia madawati mengi anakupigia simu kukupongeza eheheheheheh
Hutaniwiiiii mamii?,hata hivyo mrembo kama wewe kutukana inaharibu credibility yako mamii,usimuige Mange Kimambi.Nyoooo umpanue nani
hahaaaaaaa hilo gundu we nenda hata ubalozini tungoja nitafute myuesiei nisafishe nyota.... kama kuna myuesiei aliyeko likizo akuje basi anitolee gundu....
USA kwene kila uchafu wa dunia! Who would risk? Hell NO!
MamboHutaniwiiiii mamii?,hata hivyo mrembo kama wewe kutukana inaharibu credibility yako mamii,usimuige Mange Kimambi.
Mambo pouwa wa ubani,siku hizi umekuwa mkali?,hadi naogopa na kutetemeka nikikuona jukwaani,mpaka najisemea rohoni" LEOO,.,.. MAMA YANGUUU,.,,.,.SIJUI KITANUKA TENA ?Mambo
Ha haa relax bana. Hata sina ukali jamani, istoshe hujanikosea yanayoendelea hapa nachulia ni utani tuMambo pouwa wa ubani,siku hizi umekuwa mkali?,hadi naogopa na kutetemeka nikikuona jukwaani,mpaka najisemea rohoni" LEOO,.,.. MAMA YANGUUU,.,,.,.SIJUI KITANUKA TENA ?