Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Teh teh teh!Mzugaji mkubwa tu, hujamfahamu vizuri, anakumendea lakini anashindwa aanzeje!
Wanatukwepa wala vumbi.Wenzake karibu wote wamebadili id (re: remosa) amebaki yeye, naye abadili tu! Masunga Maziku
Kweli mhaya Ni kazi
Kweli mhaya Ni kazi
Ananiandama kama ananidaiKwani amekufanyaje?

Ananiandama kama ananidai![]()
Uongo uongo uongooKwani anayosema ni uongo?
Wewe Ngabu unaona umeshaanza kutamanisha watu huku![]()
![]()
![]()
![]()
Wewe uko wapi saivi, ile lugha yetu inapanda? Na unaenda kwa issue gani?
Kama ni sababu hiyo, mtafute mwenyeji akukaribishe, ile iwe vyepesi kupata Visa. Kupiga box tu bila sababu maalumu kama kusoma, biashara, au mapumziko n.k. ni ngumu kupata.