Wanaume wa Marekani mna nini?

Wanaume wa Marekani mna nini?

Anhaa umevizia kaondoka ndo unamsema eeh! Ngoja sasa aje

Dawa yake ni Linda, utasikia muda si mrefu anamwibukia Linda. Huyo hata umwambie maneno gani mshipa wa aibu umeshamtoka. Anajijua ni Garbage and useless. Akitukanwa ndio anafurahi, sasa utamkomoa kwa lipi!
 
Haya ukalale sasa
Halafu wewe unadhambi sana,yaani ulivyokuwa unamshinikiza binti ya watu mrembo,masikini ya mungu eti unamwambia na fulani alikuwa anakutafuta,basi na yeye bila kujijua anaanza kumtafuta huyo fulani na kumtukana,halafu kibao kinamgeukia,ukiona tena amekaa kimya mara Freema Agyeman njoo huku huyu nae anakutafuta,duuh sasa ikawa kama kaponda jiwe kwenye mzinga wa nyuki,mwisho masikini kajisemea mie sirudi tena kwenye huo uzi,gun down,
 
Kwendraaaaa
 
OK.... Gudu nait.... Ngoja nitumikie kitanda sasa
Kitanda peke yake au na passenger?,maana usijekuwa kama Mange Kimambi,kaambiwa na videnish eti analala peke yake siku zote,wakati yeye kidenish ana mme ila kasafiri siku moja tu na inakuwa nightmare,angalia majinamizi yasikukabe usiku.
 
We mchokoze tu mi sipo
 
We mchokoze tu mi sipo
Daah kweli,maana wa kunitetea si ni wewe?hebu acha niufyate mamii,lakini nakuomba akianza kunikorome ,mtumie ujumbe PM,Mwambie msamehe,huyo ni baby wangu wa ubani au vip?,hapo najua atazima fegi, leo vipi huoshi vyombo?
 
Back
Top Bottom