Wanaume wa Marekani mna nini?

Wanaume wa Marekani mna nini?

Ha haa relax bana. Hata sina ukali jamani, istoshe hujanikosea yanayoendelea hapa nachulia ni utani tu
Duuh yaani ile kutania tu"BASI NITAMPANUA" weee ulivugumiza jiwe mamii,nilikuwa napata Jack Daniel wacha inipalie,yaani uliivuta ile"NYOOOOOOO,nikashika adabu yangu mamii.
 
Ha ha haaa nyooooo
Hii hainshtui sasa,coz najua hii ni ya kishkaji mamii,sio ile iliokuja out of blue,coz wakati namjibu yule Mkuu,si nikajua wewe hutaiona,wee nilishtuka kukuona mamii umetokelezea na jiwe lako paaaaaaah.
 
Uzi ule mwengine umefungwa ?,

Mod wanazingua sana mshakuwa akina nkurunzinza
 
Uzi ule mwengine umefungwa ?,

Mod wanazingua sana mshakuwa akina nkurunzinza

Yoo...niaje MazGaz...

Nimesikitika sana kwa uzi ule kufungwa maana nilikuwa na bonge la shauku kusoma na kuchangia.

Nani karipoti kwa mods hadi ukafungwa?

USA baby
flag_usa.gif

Wameufunga bro daah kulikuwa na bonge la muvi mithili ya movie la director Cameron au spielberg .

Hahahahahh daah mods hawajafanya fair .

Kila kitu kiliwekwa wazi .

Watu walikuwa exposed to the maximum point that we can call it a point of no return.

Ila nasikia ulichapa na kusepa na wanajipa promo kwamba huchomoki yaani umeshawekwa kwenye kiganja wala vumbi wamepondwa sana .

Nyani ngabu USA baby imewashika watu
 
Kila kitu kiliwekwa wazi? Yaani ma evidence ya nguvu? Incontrovertible evidence?

Hilo la kuchapa nasingiziwa tu. Au kuliwekwa video evidence nikimchapa mtu?

Mshikaji atakuwa na mazonge tu ya kuchapiwa demu wake lakini mimi sihusiki kabisa.

Ujanja wangu wote huishia humu humu JF na akina Valentina 😀.
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Back
Top Bottom