Kessy Wa Kilimanjaro
JF-Expert Member
- Jan 23, 2016
- 327
- 209
Hehehe
Wenzio hawajui hilo....kule ni kazi kazi kazi dadek another hour another dollar. U dnt get paid on ur breaks unless ni holiday tip.
Mi nilikuja kuchoka kabisa nlivyoona ulaya mtu ana MSc au Degree ma chuo anapiga kazi ya u store keeper, wengine wanatunza na wazee. Mbele ur degree at tyms aint shit unless kama ni science subjects ndio utapiga hela cz wako wachache.
Nilishangaa sanaa mtu bank teller au receptionist ana make hela mbuzi kuliko mtu wa cleaning, mbeba taka taka, care jobs (kutunza wazee) au store keeper. Life can be really funny there fam. Tehe
Alafu ukisomea degree mbovu we rudi nyumbani ukalime. Utakuwa janitor mpaka uzeeni. Na sijui ulaya lakini marekani kazi yenyewe kuipata mpaka resume ieleweke sivyo utafanya kazi mcdonalds au kusafisha shule au walmart casheer. Na kama huna ela hauli bata wala kutoka toka kuzurula. Alafu watu wanashangaa ukiwa unasema unataka urudi Tanzania ili ujivinjari. Hela inaenda mbali zaidi Tanzania kuliko marekani.