Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,106
- 136,784
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Mwajuma na wewe nshakutafuna.
Bisha uone ntavyokulipua.....
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
ntaku NDI NDI NDIMwajuma na wewe nshakutafuna.
Bisha uone ntavyokulipua.....
ntaku NDI NDI NDI
hehheheh, mie niliinjoyi pale kichakani bana. lodge staki tena.
Sema suuu nirusheWe utarusha nini? Video?
Halafu, mi hata ukinirusha ndo utaniongezea soko....manake hakuna lililo baya 😛
Hebu njoo nikukague kama kweli hujachapa we sukumaKila kitu kiliwekwa wazi? Yaani ma evidence ya nguvu? Incontrovertible evidence?
Hilo la kuchapa nasingiziwa tu. Au kuliwekwa video evidence nikimchapa mtu?
Mshikaji atakuwa na mazonge tu ya kuchapiwa demu wake lakini mimi sihusiki kabisa.
Ujanja wangu wote huishia humu humu JF na akina Valentina 😀.
Hebu njoo nikukague kama kweli hujachapa we sukuma
He hee ngoja ntakufanyia vipimo kujiridhisha zaidiTeh teh teh...nshakula ban.
Haki ya mungu tena sijachapa bana.
Jamaa kachapiwa na wengine halafu ananisingizia mimi.
He hee ngoja ntakufanyia vipimo kujiridhisha zaidi
Kuchapiwa siri ya ndaniNgoja na wewe bwana'ako aje kujiliza humu kachapiwa na NN.
Physicsya somo gani?

Hahhahahahahah evidence ziliwekwa bhana yaani ile ni kama cyber bullying za mange kimambi mpaka rangi chupi ilitajwa na number ya dudes who hitted it per year was mentioned full specifications.Kila kitu kiliwekwa wazi? Yaani ma evidence ya nguvu? Incontrovertible evidence?
Hilo la kuchapa nasingiziwa tu. Au kuliwekwa video evidence nikimchapa mtu?
Mshikaji atakuwa na mazonge tu ya kuchapiwa demu wake lakini mimi sihusiki kabisa.
Ujanja wangu wote huishia humu humu JF na akina Valentina 😀.

Ha haa nilichelewa kuona bana...Sijui nani anakufundisha, maana hii salamu ni baada ya siku ndio unajibu.
haya ngoja nkutafutiePhysics![]()
ShemejioNataka nimjue huyo anaye kufundisha.
sa wanajuaje unaish mbele au watoto wote wa high school wanafaham unaish mbele au unajiongelesha sana (i , you , we , they)?Watu ile tumerudi mbele kishule i.e bongo likizo madem wakali wa high school kama wa 4 hivi nikapiga show na sikuhonga hata 100. Unamtoa out, swimming, eating dem anajaa ye mwenyeeewe, unapiga show. Kuna wakati sikuamini nimekula ile mizigo. Daah
Achalia mbali na wanaoleta shobo. Yani kama unaishi states hujaoa ukiwa unarudi bongo likizo these chicks utawachoka mwenyewe (kikubwa tumia kinga tu), wengine wanaweza waka kunasia mimba. Issue ni wajue the position ur in and toa out mbili tatu. Utaniambia.