Wanaume wa kichaga

Haya ndio maneno, atakuwa ana wivu nanyi si bure.
 
Wewe wasema!!!! Wa pwani gani hawa mbona wangu mie hayuko namna hii
 
Sa
We malizia vyovyote tu if it wiil make you sleep well at night.

Namalizia ujenzi wa kwangu then nihamie kwangu. Na hajachangia hata msumari kwenye ujenzi wa nyumba yangu.
Sasa kwanini unasubiri mpaka umalize ujenzi si umuache tu sasa hivi uondoke?
Acha kumpotezea muda mwenzio mwambie ukweli muachane.
 
BIBIE LEO UNALO TUNAKUSHUKIA JUMLA JUMLA UMETOCHOKONOA SASA TUNAKUJA FULL MBATA ETI JAMAA KAPOOZA SASA KAMA UNA K KAMA MSASA JAMAA ANAUGULIA MAUMIVU
Kumbe hizi ni hasira za kuuzungumza ukweli? Basi shukeni tu, ila mwende Pwani mkapewe jando kidogo.
 
Hiyo conclusion ya wanaume Wa kichaga kupooza umeifanyia research Kwa wangapi ?, kupooza Kwa mtu kunahusiana na kabila kumbe duuh, poleni wakaka Wa kichaga
Soma uzi, wamethibitisha wao wenyewe, mie nilichokonoa mada tu baada ya kupatwa na wawili na story za hapa na pale.
 
Raha ya mwanaume awe jeuri jeuri walau kidogo
bado najifunza, ila nashukuru kwa asilimia kubwa nimefanikiwa kuelewa saikolojia zenu😆😆😆

Sasa jeuri ya nini, mnaipendea nini mtu kotofi
 
A
Huyu ni wapili sasa, nikapiga story na mashosti walowahi kudate wachaga story is still the same. Nyie wenyewe mmethibitisha kwenye uzi huu kuwa mmechangamka kwenye utafutaji tu sio upande wa pili.
Aisee wewe yaani hata vitu vya kuongea na mashosti zako pia hujui!!? Hivyo ni vitu vya kusema kwa mashosti zako!?
 
Kwani mimi muda wangu haupotei?
Wewe si ndiye unayelalamika,muache basi kwanini unamng'ang'ania huku unamsema pembeni?? Eti mpaka umalize ujenzi,wakati hatoi hata senti ya ujenzi....unasubiri nini sasa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…