Wanaume wa kichaga

Mi nishajichokea Siwezi mapurukushani acha tu niendelee kuwa gogo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
#Nenda kwa watu wa Kanda ya ziwa,wakiwemo wajita wanapenda Sana kuliamsha dude trust me hutojuta....
 
Salute!
 
Haya..
Malengo yangu yanatimia hata bila msaada wake, hapa ni kwangu siwezi kuondoka kwa sasa, nilijiwekea malengo ya kutotafuta nyumba nyingine ya kupanga hadi nihamie kwangu niliojenga.

Usijali very soon he ll be free, namtafutia njia nzuri ya kumuepa.
 
Ushauri wa hivi mngekuwa mnautoa na kwa yale mafurushi wenzenu wanaoharishaga utumbo wao humu tungekuwa mbali sana. Tatizo mkuki kwa nguruwe, mnakumbukaga busara likiwa linawagusa ila ikiwa ni kuhusu wanawake kauli ni "achana nae huyooo, wanawake ni wengi sana"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…