Wanaume wa kichaga

Sasa baba yetu Adam ndio muasisi sisi tunaachaje? Tuendelee tu kulaumiana, kila binadamu ana ujinga ila wenu umezidi.
 
Naona mvua za matusi tu zikimwagwa kwenye huu uzi, dunia ya mtandao haipo salama kabisa.
I am so disappointed. Huu uzi haukutakiwa kuwa hivi, mtu kaleta hoja hayakutakiwa kuanza matusi.

Kama hoja ingejadiliwa na mleta uzi angeulizwa kwa busara tu mpaka tungefikia hitimisho.

Anyway, that's that
 
Ex darling umesahau wewe ndio ulisema mwanaume hajishushi? We jinunishe ukitegemea kubembelezwa, maisha mafupi haya kwanini utake kuyafanya yawe magumu kwa mwenzio asiyafurahie? Mwaga mboga namwaga ugali na jiko nafungulia gas itoke yote.
We ain't trippin'
 
Wanawake tukitaka vile vinavyotupa faraja hatujielewi, ila nyie mkitaka vyote basi ndio mna akili!!!!!!!!!! SMH
Na mna haki haswa ya kutafuta furaha zenu. We need to be fair sometimes, wengine sisi tukiwa hatukuelewi tunakumwaga fasta, sasa iweje nyie ndugu zetu mkitumwaga kama hatujielewi iwe nongwa???
 
Ngoja kwanza tuanzie hapo kwenye "kweri Kweri" yako, it's "kweli kweli" i hope utakuwa unatoka mikoa fulani ilee!! The issue of chagga guys kuwa unromantic isn't something surprising hata mimi nilishapata kadhia hiyo kwa ex-partner wangu. I hope baadhi ya watu sampuli yenu mnakuwa mnakosa wisdom per logic of resoaning behind this matter. Nisingependa kuongelea issue za vyumbani and so forth ila mjue kuwa kila binadamu anapitia malezi tofauti ambayo atayaishi mpaka utu uzima wake na kujifunza atakayopitia katika msururu mzima wa maisha yake kama changamoto kwake hadi umauti. Sasa kama umemkuta kijana wa watu hayuko sawa kwenye kitengo fulani inabidi uwe na msaada kwake kurekebisha hilo na kwake kwako katika vitengo vingine vivyo hivyo. i.e kama kwenye utafutaji uliosifia kutoka upande wake.

I only observe people complain and leave people behind opt to find perfections on the other person which put them later into dilemma, kwahiyo ili usiwe unaruka ruka na wanaume wa kila aina mpaka kuonekana una chachu ya "umalaya/umapepe" n.k by public perceptions na kuacha doa baya in your destiny, it's best mpeane na mwenza wako changamoto za kuelezana ukweli juu ya kero mnazopitia binafsi na kusonga mbele as a blessed couple, na kama hamsikilizani au hamuendani then hayo ni matatizo mengine tena. But it shows kuwa una mchukulia jamaa poa thinking 2 yrs is just a joke to now try to left him eti kisa ni unromantic plus bed issues and small petty things. Je! angekuwa ame cheat/kusaliti as being a major problem kwenye mahusiano ya karne ya leo?? ungekuwa na mtazamo gani kwake au kwa wanaume in general!!. Tena shukuru Mangi kuwa unromantic and he doesn't engaged with more female partners as he have you if it is the truth. SO SPEAK TO YOUR MAN, LADY!

NB; YOU MIGHT LEAVE FOR A FULL MOON WHILE CHASING SHOOTING STAR'S. PLUS IT'S OBVIOUS CHAGGA'S ARE HANDSOME & MANKA'S ARE EXQUISITELY BEAUTIFUL.
 
Kimsingi hata ke ukipooza sisi wanaume pia huishiwa mvuto, huenda umepooza pia, lakini ukiwa mjanja waweza kumtengeneza mmro na akawa na mvuto kila wakati.
Ukimkuta mwanamke au mwanaume aliyekamilika huyo sio wako ni wa yule aliyemtengeneza na siku zote ataishi sawa na yule aliyemtengeneza. Tengeneza chako kikufae
 
Muwe mnajitahidi kwa kweli🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Kuwa busy kama yeye unaelekea wewe ni mama wa nyumbani, mda mwingi unaangalia bongo movie, kushinda na dela, kwenda saloon, ukiona vipi tafuta wakongo man wapo kibao kinondoni pale kereti lubumbashi bar, asubuhi mpaka jioni wamechomekea wanaimba bolingo tu
 
Mwanaume mpole ni yule ambaye mke wake akifanya makosa anatafuta njia nzuri ya kumrekebisha bila kumfokea wala kumpiga ila sasa nyie watoto wa farao mwee mwee mwee mwee mbombo jilipo
Bibi yangu aliwahi kuniambia kamwe nisije nikampiga mwanamke, nitalaanika. Naheshimu hill na halitotkea kamwe, nikishindwana na wewe nasepa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…