Eti umesema mwanume akiwa anatafuta pesa kupeti peti ni nini?Okay, first and foremost, umeshajiuliza hao wanaolia lia humu ni wanaume au wavulana. Kama haujafahamu, most of these cry baby ni vijana wadogo sana wa level ya advance secondary au aidha wapo chuo wakisoma cheti, diploma au wachache degree. Most of them hata hawajaanza maisha ya kujitegemea na kuwa na majukumu rasmi. So acha kupoteza energy yako kuamini unajua kinachoendelea.
Pili nikujulishe kitu tu kuwa kuwa romantic ni jambo la ku'volunteer kwa mwanaume na ili aendelee basi ni lazima mwanamke amtengenezee mazingira kuwa hivyo na usitegemee awe hivyo by himself.
Ni ngumu sana ukute mwanaume anatafuta pesa na apate muda wa kudeal na drama zako. Anaweza kukufanyia small practices za mahaba kama kukuletea zawadui, kukutoa out, kukupa mchezo mzuri kitandani lakini most of the times ni ngumu kufanya hivyo as iwe muda wote huwa ni ngumu sana....akili inayowaza kutafuta pesa huwa haitapata mida kuwaza mapenzi na ndio maana wanayoyaweza ni hawa mabwana wadogo wasiokuwa na serious business kwenye uchumi.
Kiufupi usiassume kuwa wavulana ni necessary wanaume.......
By the way for serious talk u know my dm..... We can learn more from one another..... [emoji6]
Daah!! Sasa nyie kaka zao mnawaachaje wanakuwa hivi jamani? Si unajua asiefunzwa na mama....Vijana wamekula pilipili, wamekosa staha!
Nawe si huwa hukibali kushindwa, rudi hapa mie niko na popcorn leo naona upande wenu wa pili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanifai tena humu.
Nitafute nikupe mamboPesa kwangu sio tatizo maana hata mimi najua kuzitafuta, nahitaji mwanaume wa kufurahi nikiwa nae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yoooh. Na huyu mfupi pia.
Nikienda nae sehemu hata mguu sitakiwi kutingisha anaona wivu.
Sasa kisa cha kuachana eti nilicheza mziki nikawa nakata viuno watu wananishangaa.
Alimind kufaaaa. Anasema siwezi kuwa na mwanamke anacheza mziki watu wanamshangaa. Nikamwambia poa ila mi kucheza starehe yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wanajishtukia sana hawa watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi kuna mmoja alitaka tuachane eti kisa napenda kutembea halafu mbaya zaidi nilikuwa nikimwambia twende tukatembee anakubali tunapuyanga weee kumbe mwenzangu alikuwa hapendi
Siku ya siku akaja kunifungukia eti "wewe mwanamke unapenda sana kuzurura" nikamwambia sasa nisipozurura sasa hivi unataka nizurure nikiwa kwenye ndoa majukumu yamenibana au?
Wakati huo yeye mwenyewe alikuwa anapenda mpira humwambii kitu yaani ni bora akatishe mazungumzo yetu ili akaangalie mpira hata mechi za timu ndogo ndogo tu hizi ambazo hazina mashabiki alikuwa anataka akaangalie na mimi wala nilikuwa sikasiriki
Ila alivyokuja kuniambia eti niache kutembea la sivyo tutaachana kiroho safi tu nikakubali tuachane na siyo kwamba nilikuwa siwezi kuacha kutembea ila nilishaona tu kuwa hana mapenzi na mimi kutokana na sababu zake za kijinga nikajiengua mapema
Nimesoma ulichokileta nikakuuliza hilo swali, wewe ukiona mwanaume yupo aina fulani basi itakuwa ni kabila?Soma uzi then utapata majibu, so far wanaume wote wa kichaga walochangia wamethibitisha hilo, pia hata wanawake wamethibitisha.
Hahahah mie nimeshusha mikono chini, huyu mtoa mada moto wake ni hatari kama mafuta ya ndegeπππNawe si huwa hukibali kushindwa, rudi hapa mie niko na popcorn leo naona upande wenu wa pili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yoooh. Na huyu mfupi pia.
Nikienda nae sehemu hata mguu sitakiwi kutingisha anaona wivu.
Sasa kisa cha kuachana eti nilicheza mziki nikawa nakata viuno watu wananishangaa.
Alimind kufaaaa. Anasema siwezi kuwa na mwanamke anacheza mziki watu wanamshangaa. Nikamwambia poa ila mi kucheza starehe yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wanajishtukia sana hawa watu
Kuwa makini namna ya kumtoka,asije akakuandalia gunia kadhaa za mkaaI see!
Huyu namvumilia tu maana namalizia ujenzi wa nyumba yangu niachane nae maana sidhani if i can spend the rest of my life with someone like this. Nitamchoka mapema sana.
Umeshatia mimba ngapi hadi sasa?We unajinadi mpole kumbe nawewe maharia tu [emoji38][emoji38][emoji38].
Nikikupenda nakupa mimba kila mwaka
Hii mbegu itakuwa ya kaskazini tuπ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We tunafanana vitu vingi, kama mbwai na iwe mbwai tu hakuna kubembelezana wana nini.
Mama tulia basi, hiki kinyago tu ili mtoto ale bila fujo πππUmeshatia mimba ngapi hadi sasa?
Umeona umalizane nae hapa hapa bro??π€£π€£π€£π€£Lile jibu langu vipi Mkuu ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah mie nimeshusha mikono chini, huyu mtoa mada moto wake ni hatari kama mafuta ya ndege[emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha nikimbize mbawa zangu nimfate mtani wangu wa jadi Marianah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mbegu itakuwa ya kaskazini tu[emoji23]
Binti yangu ndio ushamkosa hivyo.Mama tulia basi, hiki kinyago tu ili mtoto ale bila fujo [emoji23][emoji23][emoji23]
We unajinadi mpole kumbe nawewe maharia tu [emoji38][emoji38][emoji38].
Nikikupenda nakupa mimba kila mwaka