Wanaume wa kichaga

Wewe ni kabila gani?
 
Huyu ni deal taker.... Angekuwa loyal to him yote hayo is just a peanut as long as they're well equipped on other angle.
Kwa maelezo yake tuu ndoivo yani. Mara nyumba iishe mara nini..maslahi mbele.
Kwa maana kwamba akimuacha mapema cost za kodi na mambo mengine yatamlemea mleta mada mwenyewe.. poor chagga brother.
 
Kwa maelezo yake tuu ndoivo yani. Mara nyumba iishe mara nini..maslahi mbele.
Kwa maana kwamba akimuacha mapema cost za kodi na mambo mengine yatamlemea mleta mada mwenyewe.. poor chagga brother.
Haswaaa.... Horrific
 
Asante kwa jibu zuri kabisa, asituchoshe
Huo us..nge sijui wakuwa fun na makorokoro kibao kawatafuteni machoko wa pwani huko n.k

Sisi tupige tako mbili tatu wazungu hawa hapa..tunaendelea na mbishe nyingine
,ukitaka kaliwe nje huko chiu si wako
 

Nlisha wahi kua nae ata mkiwamnataka kugegedana yeye anaingia moja kwa moja wala hakuna kuchezeana vingonjera
 
Haha..wapo majentromen mabwege ...hahaha kupandiana mgomba tena !!? Kuna wengine na vibao mnapigwa
huyo anaekenua sio mwanaume, yani umpige singi acheke et jentromen
ukijaribu kwangu naweza nikakupandia mgomba
 
Ndio unataka kusema akina manka hamuonji onji?
Kaka zako wamethibitisha kuwa ndivyo walivyo, hawafundishiki. Na wameniambia kabisa pa kwenda kupata waliochangamka.
 
Mpumbavu hujibiwa kwa kadri ya upumbavu wake.
Nimewajibu kama walivyokuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…