Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Nimesoma na nimeelewa labda wewe ndio unakurupuka. Yeye katoa maada sasa nilitaka yeye binafsi kama mfano wa mwanaume wa kiafrika atoe maoni yake. Kitu gani huelewi hapo? Au ndio Mulugo graduate?
Soma kichwa cha habari kwanza kisha urudi kusoma hovyo hovyo zako ulizojibu hii mada uone kama umejibu sawa.