Yaani we kazi kubwa ni kuhakikisha mambo ya home yako vizuri basi. Nguo unafuliwa wengine wanafuliwa hadi boxer, maji ya kuoga unapelekewa hadi bafuni. msosi we ni kukaa tu mezani unakuja ukichelewa bila sababu za msingi unaruhusiwa kutembeza kichapo.
Pasi unapigiwa na viatu unabrashiwa. Nyumba unasafishiwa na kitanda kutandikiwa. Wikiendi unaamka zako saa 4. Unawekewa maji unaoga, unawekewa msosi unapiga. Unasubiri lunch unapiga kasha unaingia ndani unatoa nguo zipigwe pasi na viatu vibrashiwe ili ukapige ulabu au uende kwa mchepuko.
Najiuliza hivi wanaume wa kizungu, kichina na kijapan wana raha kama wakiafrika?
Tusemage ukweli RAHA MNAPATAAAAAAA! Tena hapo umepunguzaa, game ubembeezeweee, usipokula unashitakiwa kwa wasimamizi wa ndoa.:lol:. Mungu awape nini tenaaa gunia la chawaaaa? Kuku mnakula MIPAJA NA MIDARI YOTEE wewe peke yako, waliobaki vipapatio na mgongo na shingo. Chezea baba mwenye nyumba wewe. Hakiliwi mpaka urudi. Nyama nusu, robo yote unapakuliwa wewe.
Ndo maana mkioa wazungu au wachina HAMDUMUUUU. Wake wasomi wenyewe wanawatoa kamasi vile vile kisa tu list inapunguzwa kidogoooo.
Ukiwa mwanaume ukajua kuutumia uanaume wako raha sanaaa.
Wanawake wa kiafrica na sie tuna yetu. UKIACHA 200 UNAKUTA KUKU. Chezea hesabu za kike wewe. Ukidengua kula Zubedaaa anapewa mwenzio akusaidie mpaka hamu itakapokurudi. Kitu mafiga matatu. Uwe na hela usiwe na hela dera la 150,000, mi gold lazima nichafue, sherehe nachanga kama kawaida na natuza mapaka makabati. Aaaaaaaaaaaaaaah! Tunadumisha mila bwana.:lol:. Mke wangu Dera umepata wapi, kanigea mdogo wangu, mtu mzima anachungwaaa? Hata siku moja. Wake za waume wa kiafrica Zubeda iko kazini mda woteee. Kuupata ubosi ule mchezooo? Lazima usaidiwe.
ndomana hamuendelei na mnakufa mapema
Sishabikii kuwa hoja na fikra za mleta mada ni sahihi .
Hata hivyo, Siungi mkono pia msimamo wako kama suluhisho la yale aliyoyanena.
Tusemage ukweli RAHA MNAPATAAAAAAA! Tena hapo umepunguzaa, game ubembeezeweee, usipokula unashitakiwa kwa wasimamizi wa ndoa.:lol:. Mungu awape nini tenaaa gunia la chawaaaa? Kuku mnakula MIPAJA NA MIDARI YOTEE wewe peke yako, waliobaki vipapatio na mgongo na shingo. Chezea baba mwenye nyumba wewe. Hakiliwi mpaka urudi. Nyama nusu, robo yote unapakuliwa wewe.
Ndo maana mkioa wazungu au wachina HAMDUMUUUU. Wake wasomi wenyewe wanawatoa kamasi vile vile kisa tu list inapunguzwa kidogoooo.
Ukiwa mwanaume ukajua kuutumia uanaume wako raha sanaaa.
Wanawake wa kiafrica na sie tuna yetu. UKIACHA 200 UNAKUTA KUKU. Chezea hesabu za kike wewe. Ukidengua kula Zubedaaa anapewa mwenzio akusaidie mpaka hamu itakapokurudi. Kitu mafiga matatu. Uwe na hela usiwe na hela dera la 150,000, mi gold lazima nichafue, sherehe nachanga kama kawaida na natuza mapaka makabati. Aaaaaaaaaaaaaaah! Tunadumisha mila bwana.:lol:. Mke wangu Dera umepata wapi, kanigea mdogo wangu, mtu mzima anachungwaaa? Hata siku moja. Wake za waume wa kiafrica Zubeda iko kazini mda woteee. Kuupata ubosi ule mchezooo? Lazima usaidiwe.
lara 1 naona umejibu hoja kwa mshambuliio mpozo
Tena Ukitaka Raha Zizidi Oa Tanga!
Mwanamke unachoma wewee.It doesnt matter! It is what it is! Mwisho wa siku wanaume mnakunja nne wanawake tunasugua sufuria. Na gold lazima tuvae. Mambo ya binadamuuuu.
Yaani we kazi kubwa ni kuhakikisha mambo ya home yako vizuri basi. Nguo unafuliwa wengine wanafuliwa hadi boxer, maji ya kuoga unapelekewa hadi bafuni. msosi we ni kukaa tu mezani unakuja ukichelewa bila sababu za msingi unaruhusiwa kutembeza kichapo.
Pasi unapigiwa na viatu unabrashiwa. Nyumba unasafishiwa na kitanda kutandikiwa. Wikiendi unaamka zako saa 4. Unawekewa maji unaoga, unawekewa msosi unapiga. Unasubiri lunch unapiga kasha unaingia ndani unatoa nguo zipigwe pasi na viatu vibrashiwe ili ukapige ulabu au uende kwa mchepuko.
Najiuliza hivi wanaume wa kizungu, kichina na kijapan wana raha kama wakiafrika?
mkuu hapa naweka tu facts mezani ila tabia za hivi nazidespise sana. utafiti unaonyesha wanaume wa kiafrika wana average ndogo sana ya masaa ya kazi.Duh hi kali sana katika karne hii.
Bado upo kwenye level ya kuoga maji ya kwenye ndoo, hamna shower?
Huyo mwanamke ni wale ambao hakumaliza hata la saba bila shaka
Je ungependa binti yako akiolewa awe na mume wa aina yako?
Tena Ukitaka Raha Zizidi Oa Tanga!
Duh hi kali sana katika karne hii.
Bado upo kwenye level ya kuoga maji ya kwenye ndoo, hamna shower?
Huyo mwanamke ni wale ambao hakumaliza hata la saba bila shaka
Je ungependa binti yako akiolewa awe na mume wa aina yako?
ndomana hamuendelei na mnakufa mapema
Hajajisemea yeye binafsi,kasema wanaume wa kiafrika,kwani wanaume wote wa kiafrika wana uwezo wa kuoga kwenye shower? Soma mada uielewe klwanza kabla hujakurupuka kujibu.