Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Huyo hanata sura wala chura ndio maana kaja hapa jf[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuunganishe undugu hapo kaka si ulikuwa unatafuta wa kumzalisha[emoji23]
 
Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.
Sjapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nn Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie cm usiku ninamke Mara naogopa tutagombana
Wakat inbox unanitongoz unadai upo single chefu[emoji25]
Alafu wanaume wa jf ni waongo jamani anajifanya moyo mpweke anajibebisha uko Bobo anakuita ili umpelekee chini tu

Asa we nae unawatoto 4 uko Italia mala Sudan[emoji119] ulivyo muongo afu eti Sina mke natak uwe mke wangu
Mtchewwww[emoji57] Apo Apo usipige cm nipo kazin mala saiv usik babe,babe ya nyoko[emoji25] MNITUE NA INBOX YNGU NAFUNGA

yani jf kwa kuact magenius kumbe makopo

Afu nawewe nikikuona umekomment hii post ntakuaibisha kwa kuniomba omba vocha eti unibembeleze usiku nilale ka pono[emoji57] kwanza umenshangaza toka lini mnyakyusa ukajitia mkorogo Tena mwanaume
Alokwambia natak kubembelezwa nilale kwani kufunga macho mi sijui

Yani jaman ukiomba mchumba jf shughuli ipo

Aaah wakaka awatak upendo kwanza first day wanatak [emoji97][emoji533]
Ukimwi hautaisha
MTU ata ujawai mwona
Humjui ndo first date na [emoji97][emoji533] unaomba [emoji57] chefu
Nani huyo tena anaomba vocha jamani?
Mtaje

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Humu Jamii Forums kila kitu hakina uhalisia uongo, utapeli kujifanya maisha ya juu. Nakumbuka mwaka 2010 kuelekea 2011 kulikuwa na mpango wa kuanzisha Jamii Empowerment Saccos yaani kuna mtu alikuwa ni mstaarabu sana na alikuwa ni kivutio kwa jukwaa la MMU na katika huo mchakato yeye alikuwa kama Excutive Secretary akaniazima laki 3. Nilimdai mpaka nilichoka na akaamua kuni block na humu JF simuoni tena.pole kwa yaliyokukuta humu JF watu wanaiwanaishi maisha ya kuigiza.
Duh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Duh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kuna watu humu wanajifanya ma VIP we acha kabisa, huyo jamaa alimtapeli mpaka Maxence Melo mwenyewe na Maxence akapaniki humu humu akapigwa BAN japo yeye ndio founder wa JF. Tumetoka mbali na hii JF. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Heee😂🙌😂🙌
Melo ashawahi tapeliwa na hatuambii🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sisi ni nani tusitapeliwe??eeh Mungu😂😂😂😂😂😂

Ni nani huyo??
Nitajie basi .
 
Kuna watu humu wanajifanya ma VIP we acha kabisa, huyo jamaa alimtapeli mpaka Maxence Melo mwenyewe na Maxence akapaniki humu humu akapigwa BAN japo yeye ndio founder wa JF. Tumetoka mbali na hii JF. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Heee[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
Melo ashawahi tapeliwa na hatuambii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sisi ni nani tusitapeliwe??eeh Mungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni nani huyo??
Nitajie basi .
Hata nikikutajia huyo mtu sasa hivi haina tena maana lakini kama ungekuwepo humu kuanzia miaka ya 2010 kule MMU, CHELSEA SPECIAL THREAD na MITINDO MAVAZI NA UTANASHATI ndio ningekuambia hebu ngoja nione huyo mtu kama yupo humu maana kapotea kabisa

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Tako atavaa vigodoro[emoji23]
Ah wee sitaki mie mtoto wangu wa kike mpaka 30 yupo anagalagala tuu nyumbani kwangu huku akipiga selfie na kkona ya kitanda🤣🤣🤣🤣. Nataka miaka 26 mtoto wangu kashaolewa na mimba juu. Wanaume wenyewe sie usipokuwa na tako wala hawakutazami marra mbili🤣🤣🤣🤣
 
Hata nikikutajia huyo mtu sasa hivi haina tena maana lakini kama ungekuwepo humu kuanzia miaka ya 2010 kule MMU, CHELSEA SPECIAL THREAD na MITINDO MAVAZI NA UTANASHATI ndio ningekuambia hebu ngoja nione huyo mtu kama yupo humu maana kapotea kabisa

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Aiseee[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
2010 nilikuwa mdogo sana.

Melo naye alitapeliwaje jamani.

JF Ina mambo[emoji119]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom