Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Kuna watu humu wanajifanya ma VIP we acha kabisa, huyo jamaa alimtapeli mpaka Maxence Melo mwenyewe na Maxence akapaniki humu humu akapigwa BAN japo yeye ndio founder wa JF. Tumetoka mbali na hii JF. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787]Hii sijawah sikia, nimecheka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
2010 nilikuwa mdogo sana.

Melo naye alitapeliwaje jamani.

JF Ina mambo[emoji119]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2]
Melo ni mtu poa sana aiseee na huyo jamaa alikuwa ni mtu wa Atoka Sehemu moja. Lakini alichokifanya yule jamaa ilisababisha hata hiyo SACCOS isiwepo tena. Mambo ya JF kwa asilimia kubwa kuhusu mambo ya mahusiano, Pesa yanakuwa ni kuumizana mioyo tu. Ndio maana huyu mleta UZI kavunjwa moyo huko PM kaja kuanzisha UZI hapa. Mambo mengi humu hayana uhalisia.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2]
Melo ni mtu poa sana aiseee na huyo jamaa alikuwa ni mtu wa Atoka Sehemu moja. Lakini alichokifanya yule jamaa ilisababisha hata hiyo SACCOS isiwepo tena. Mambo ya JF kwa asilimia kubwa kuhusu mambo ya mahusiano, Pesa yanakuwa ni kuumizana mioyo tu. Ndio maana huyu mleta UZI kavunjwa moyo huko PM kaja kuanzisha UZI hapa. Mambo mengi humu hayana uhalisia.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu ni kiboko!
Hadi Melo wetu wamemtapeli jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadi wewe Liver mwenzangu wakakuliza[emoji2]

Ila si watu wote ni wabaya..
Kuna watu wema wengi tu na waliopo serious wapo.
Sema kukutana nao ni mtihani mwingine.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hehhehe halooooo
Nani huyo kakudanganga yuko Italia?

Wanaume wa humu wote wako Sinza na Meru 😂
We binti hebu ututake radhi; yeye kusikia Italia akashoboka sasa mnatuangushia wengine jumba bovu.
 
Ilikua ya kistaarabu iliyoenda shule, yenye msaada yani ilikua kila kitu[emoji91][emoji91][emoji91]
Ndo hivyo. Kila kipindi na mambo yake. Kizazi kipya kimeingia...ngono na kuporomosha matusi. Ni kuvumiliana tu! Walioshindwa kuvumilia wengi hawapo tena hapa..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu ni kiboko!
Hadi Melo wetu wamemtapeli jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadi wewe Liver mwenzangu wakakuliza[emoji2]

Ila si watu wote ni wabaya..
Kuna watu wema wengi tu na waliopo serious wapo.
Sema kukutana nao ni mtihani mwingine.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hahahahaha huyo mtu usingemzania kabisa Mwana Liverpool mwenzangu [emoji2][emoji2][emoji2]
Humu JF kila kitu ni fake si unaona hata ID zetu wengi ni feki?
Uhalisia humu upo kwenye thread za Mpira, Siasa na Technology and gadget hizo zingine kila mtu huwa anajifanya yupo level za juu. Halafu JF ya sasa hivi imepoa sana aisee kipindi hicho 2015 kurudi miaka ya Nyuma ilikuwa ni JF kweli kweli kulikuwa kuna Members humu aiseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pamepoa humu sijui kwa sababu ya kizazi kipya cha 2000.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Kulikuwa na Ma great thinkers kweli kweli. Ukiwa na jambo unahitaji ufafanuzi watu walikuwepo humu lakini sasa imekuwa too low

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Yani ilikua suluhisho la kila kitu, na watu walikua wanatoa msaada kulingana na uzoefu na kada...mpaka raha, the rest is history
 
Yani ilikua suluhisho la kila kitu, na watu walikua wanatoa msaada kulingana na uzoefu na kada...mpaka raha, the rest is history
Sema kilichokuja kuzingua ni pale Maxence alipoanza kubabambikiwa makesi ya ajabu ajabu na utawala kwa kumlazimisha atoe email za Users ndio hapo ma great thinkers wa ukweli waliamua kuondoka humu halafu walikuwa ni watu waungwana sana yaani. Na hata Mimi kwa kipindi hicho nilikuwa na miaka 22 Kuelekea 23 nilianza kukomaa kiakili nakumbuka kuna great thinker mmoja alikuwa ni PhD holder na alikuwa ni Daktari Uingereza aliomba namba yangu akawa ananipigia na aliporudi Tanzania alinipigia tukaonana pale JB BELMONT Bar NSSF HQ Posta hakuamini kama ndio Mimi aisee. Alinunulia bia za kutosha na dola 100. Halafu ni Msukuma mwenzangu ilikuwa poa sana kipindi kile hata kwa Maxence nimepanda sana Gari yake yoyote kwa yoyote Mungu ambariki sana Maxence kupitia hii Forums na Connections za michongo zilikuwa ni uhakika lakini sasa hivi Members wanawaza Mapenzi na maisha ya maigizo hakuna lenye maana sana zaidi ya kuambulia msongo wa mawazo tu.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom