Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Screenshot_20221208-185555_Chrome.jpg
 
Mwamba alipojipaisha anaishi Italy na yeye yupo bongo amepauka na jua ,,

Akaamua kujilipuwa na caro light atengeneze rangi..
 
Akifanya vizuri, sifa anapewa yeye huko huko pm na Whatsapp. Akizingua, lawama zinakuja kwa wanaume wote wa JF.

Anyway, umesema wanaume wa JF sio wakweli, kwani umetoka na wangapi ambao walikuwa kama sample space ya research yako?
Akikujibu nitag nipo nimekaa pale!

Mabinti wanatafuta ndoa kwa hali na mali. Mabaharia wanataka kupiga na kusepa. Mpishano, vurugu na kudanganyana kunaanzia hapo!
 
Ndugu zangu niwaombe tuwainee huruma wakina dada, hata kama hawana huruma na shukrani kwetu lakini sisi tusiwe kama wao.

Kila mara wanaumizwa, naomba tusiendelee kuwaumiza, tusiwe sababu ya kuendelea kuwaumiza.

Tunaweza kabisa kwa akili tulizojaliwa kuishi nao bila ya kuwaumiza na wao kutokuwaumiza.

Mleta mada pole sana.
 
Ubarikiwe wewe uliyeelewa hilo
 
Lucha jamani na mim je?
We si uliniambia nisubiri kwanza tujaze mkataba kwahiyo hiki kipindi ambacho nakusubiri nimeamua niwe singo nisijichanganye ukaniona siyo muaminifu
 
Ndugu zangu niwaombe tuwainee huruma wakina dada, hata kama hawana huruma na shukrani kwetu lakini sisi tusiwe kama wao.

Kila mara wanaumizwa, naomba tusiendelee kuwaumiza, tusiwe sababu ya kuendelea kuwaumiza.

Tunaweza kabisa kwa akili tulizojaliwa kuishi nao bila ya kuwaumiza na wao kutokuwaumiza.

Mleta mada pole sana.
Mzee wa Shambarai, niaje.
 
We si uliniambia nisubiri kwanza tujaze mkataba kwahiyo hiki kipindi ambacho nakusubiri nimeamua niwe singo nisijichanganye ukaniona siyo muaminifu

Asa mkataba upo wapi?mi nilidhan unauleta pm
 
Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.
Sjapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nn Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie cm usiku ninamke Mara naogopa tutagombana
Wakat inbox unanitongoz unadai upo single chefu[emoji25]
Alafu wanaume wa jf ni waongo jamani anajifanya moyo mpweke anajibebisha uko Bobo anakuita ili umpelekee chini tu

Asa we nae unawatoto 4 uko Italia mala Sudan[emoji119] ulivyo muongo afu eti Sina mke natak uwe mke wangu
Mtchewwww[emoji57] Apo Apo usipige cm nipo kazin mala saiv usik babe,babe ya nyoko[emoji25] MNITUE NA INBOX YNGU NAFUNGA

yani jf kwa kuact magenius kumbe makopo

Afu nawewe nikikuona umekomment hii post ntakuaibisha kwa kuniomba omba vocha eti unibembeleze usiku nilale ka pono[emoji57] kwanza umenshangaza toka lini mnyakyusa ukajitia mkorogo Tena mwanaume
Alokwambia natak kubembelezwa nilale kwani kufunga macho mi sijui

Yani jaman ukiomba mchumba jf shughuli ipo

Aaah wakaka awatak upendo kwanza first day wanatak [emoji97][emoji533]
Ukimwi hautaisha
MTU ata ujawai mwona
Humjui ndo first date na [emoji97][emoji533] unaomba [emoji57] chefu
Kwahiyo umekuja kunidhalilisha huku? Ndiyo nipo Italia nasomea upadri!
 
Sema hao uliokutana nao, acha kutuchafua we binti...
 
Imetosha sasa mmetupopoa vya kutosha sisi watafuta wachumba sasa mimi siji tena inbobo naogopa na niliyempata asije kunisambazia unga hapa

Mkuu Mad Max ndugu yangu hii wiki yetu umenusurika kweli na mishushuo hii ?

Dada To yeye usidhani nami ni miongoni mwa hao penzi langu bado liko hot huku[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.
Sjapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nn Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie cm usiku ninamke Mara naogopa tutagombana
Wakat inbox unanitongoz unadai upo single chefu[emoji25]
Alafu wanaume wa jf ni waongo jamani anajifanya moyo mpweke anajibebisha uko Bobo anakuita ili umpelekee chini tu

Asa we nae unawatoto 4 uko Italia mala Sudan[emoji119] ulivyo muongo afu eti Sina mke natak uwe mke wangu
Mtchewwww[emoji57] Apo Apo usipige cm nipo kazin mala saiv usik babe,babe ya nyoko[emoji25] MNITUE NA INBOX YNGU NAFUNGA

yani jf kwa kuact magenius kumbe makopo

Afu nawewe nikikuona umekomment hii post ntakuaibisha kwa kuniomba omba vocha eti unibembeleze usiku nilale ka pono[emoji57] kwanza umenshangaza toka lini mnyakyusa ukajitia mkorogo Tena mwanaume
Alokwambia natak kubembelezwa nilale kwani kufunga macho mi sijui

Yani jaman ukiomba mchumba jf shughuli ipo

Aaah wakaka awatak upendo kwanza first day wanatak [emoji97][emoji533]
Ukimwi hautaisha
MTU ata ujawai mwona
Humjui ndo first date na [emoji97][emoji533] unaomba [emoji57] chefu
Sikia basi, hao wa hivyo ni hao uliokutana nao, mbona watu kibao tuko poa tu, hebu mcheki mzabzab.
 
Back
Top Bottom