Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,045
- 126,063
Hahahaaa. Nimecheka sana yaani. Lol.Acha kabisa, kuna watu ni waongo mpaka akiwa anaongea, shetani anachukua notes... 😆😆😆😆
Hahahaaa. Nimecheka sana yaani. Lol.Acha kabisa, kuna watu ni waongo mpaka akiwa anaongea, shetani anachukua notes... 😆😆😆😆
Lipia tangazo tafadhali 😆😆😆Huwa nawashauri sana wanaume wenzangu waache uongo lakin hawataki, Mimi wanavyoniona ni mkweli wananichukulia kama mshamba kwakweli wanaume wenzangu wameharibika sana mbona mi ni mkweli tu na sijapungukiwa chochote, nisikufiche wengi wana madem watatu watatu mimi tu ndo niko singo wala sina tamaa na madem
Yule wa kwako uliempata kule selfika mnaendeleaje?😁😁😁Hehhehe halooooo
Nani huyo kakudanganga yuko Italia?
Wanaume wa humu wote wako Sinza na Meru 😂
Hahaha...!!Sasa si muwowane jaman
Embu muite anko huku aje jibu mashtaka maana mwaka ukiisha huu anaachilia jiko
Hongera kwa njia mpya ya kutongoza na wewe usije ukajaa na mrejesho kuwa umepigwa 150k ya ugonjwa wa MamaHuwa nawashauri sana wanaume wenzangu waache uongo lakin hawataki, Mimi wanavyoniona ni mkweli wananichukulia kama mshamba kwakweli wanaume wenzangu wameharibika sana mbona mi ni mkweli tu na sijapungukiwa chochote, nisikufiche wengi wana madem watatu watatu mimi tu ndo niko singo wala sina tamaa na madem
Huyo jamaa atakuwa Yuko tu humu SEMA kabadilisha ID😂Humu Jamii Forums kila kitu hakina uhalisia uongo, utapeli kujifanya maisha ya juu. Nakumbuka mwaka 2010 kuelekea 2011 kulikuwa na mpango wa kuanzisha Jamii Empowerment Saccos yaani kuna mtu alikuwa ni mstaarabu sana na alikuwa ni kivutio kwa jukwaa la MMU na katika huo mchakato yeye alikuwa kama Excutive Secretary akaniazima laki 3. Nilimdai mpaka nilichoka na akaamua kuni block na humu JF simuoni tena.pole kwa yaliyokukuta humu JF watu wanaiwanaishi maisha ya kuigiza.
Hiyo ndio aina ya michepuko mtambuka ,,,,ukija kuoa km mleta mada Basi kazi moyo.....Mambo ya 'bobo' mngemalizana huko huko 'bobo' bi mkubwa...
Afadhali kumbe ana depressionSema Dada umekosea kujumlisha watu wote ..
Kwa sababu wanaume wote jf tungekuwa hivo huu mtandao ungekosa wanawake.
Mbona wapo wanawake humu tunaheshimiana nao vizuri tu hawatulalamikii namna hiyo?!
Mie nafikiri wewe ndo una matatizo kama nitakavoambatanisha haya ndo chanzo
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Una stress hujapona ndo maana
Lakini pia sababu ya kukosa mchumba mtaani na kuja kutafuta humu pia ni chanzo.
Ila relax Dadangu maisha haya yakiamu yanavurugaga kweli kweli.View attachment 2439824View attachment 2439825
Hivi humu wanaume kukadia wanawake na wanawake kukandia wanaume hakutoisha eeh.Hehhehe halooooo
Nani huyo kakudanganga yuko Italia?
Wanaume wa humu wote wako Sinza na Meru 😂
Hebu kunywa maji kwanza binti!Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.
Sjapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nn Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie cm usiku ninamke Mara naogopa tutagombana
Wakat inbox unanitongoz unadai upo single chefu[emoji25]
Alafu wanaume wa jf ni waongo jamani anajifanya moyo mpweke anajibebisha uko Bobo anakuita ili umpelekee chini tu
Asa we nae unawatoto 4 uko Italia mala Sudan[emoji119] ulivyo muongo afu eti Sina mke natak uwe mke wangu
Mtchewwww[emoji57] Apo Apo usipige cm nipo kazin mala saiv usik babe,babe ya nyoko[emoji25] MNITUE NA INBOX YNGU NAFUNGA
yani jf kwa kuact magenius kumbe makopo
Afu nawewe nikikuona umekomment hii post ntakuaibisha kwa kuniomba omba vocha eti unibembeleze usiku nilale ka pono[emoji57] kwanza umenshangaza toka lini mnyakyusa ukajitia mkorogo Tena mwanaume
Alokwambia natak kubembelezwa nilale kwani kufunga macho mi sijui
Yani jaman ukiomba mchumba jf shughuli ipo
Aaah wakaka awatak upendo kwanza first day wanatak [emoji97][emoji533]
Ukimwi hautaisha
MTU ata ujawai mwona
Humjui ndo first date na [emoji97][emoji533] unaomba [emoji57] chefu
Huyo hanata sura wala chura ndio maana kaja hapa jf🤣🤣🤣🤣Wewe mwenyewe ndo ulikurupuka kutafuta mwanaume.Umejiunga Jf Mwezi wa tano tu hats hujamaliza mwaka unaanza kutafuta wanaume wakati bado huzijui tabai zao.
Kitu kingine nacho wakataza wanaume wenzangu ni kuacha ubahili wahudumie madem zao, kwakweli inasikitisha sana mimi sina demu lakin had nataman kuwahudumia madem wa marafik zangu maana wanaume wenzangu hawatoi helaLipia tangazo tafadhali 😆😆😆
Kuweni makini tutahangaika kuandika kumbe member mwenzetu ana matatizo tukamshambulia bure..Afadhali kumbe ana depression
Fungua piemu nakuja mkuuKitu kingine nacho wakataza wanaume wenzangu ni kuacha ubahili wahudumie madem zao, kwakweli inasikitisha sana mimi sina demu lakin had nataman kuwahudumia madem wa marafik zangu maana wanaume wenzangu hawatoi hela