Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Inaelekea una uzoefu bidada,

Wanaume wa wapi sio waongo??
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Mimi napendelea kukaa single... wachumba sitaki kabisa. Si unaona mambo ya kudanganywa, Italy kumbe yuko Bonyokwa...
🤣🤣🤣 Huu nao ni uongo wako, unawezaje kuhimili vishindo vya mchekeleo wa mazagazaga ya ngenye!!
 
Uzi wa tangu saa kumi na moja jioni hadi sasa saa tatu usiku bado hujafunga hiyo inbox

Mtaacha lini kiki za kingese hizi IDs mpya mammmae zenu
Sister siku hizi unatukana! Msamehe tu kwa kweli , huwezi jua analitia hali gani.
 
Humu Jamii Forums kila kitu hakina uhalisia uongo, utapeli kujifanya maisha ya juu. Nakumbuka mwaka 2010 kuelekea 2011 kulikuwa na mpango wa kuanzisha Jamii Empowerment Saccos yaani kuna mtu alikuwa ni mstaarabu sana na alikuwa ni kivutio kwa jukwaa la MMU na katika huo mchakato yeye alikuwa kama Excutive Secretary akaniazima laki 3. Nilimdai mpaka nilichoka na akaamua kuni block na humu JF simuoni tena.pole kwa yaliyokukuta humu JF watu wanaiwanaishi maisha ya kuigiza.
Tena hao wanaojifanya wastaarabu ndio balaa!! Kumbe haya mambo ya kukopa na hawarudishi ni wengi eeh!!

Cc Makiwendo
 
😂😂😂😂 naendelea kusoma comments 🍿🍿
 
Back
Top Bottom