Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

Wengne utasikia we mdg hunifai wanasahau kwamba ktk mapenz ya kwel kunaitajika busara,akil,heshma Na kumvumiliana Na hakuna ktu umri
 
Mimi nilikwambia niko shinyanga nalima zangu mpunga ukanikataa, ona Sasa umeangukia kwa waitaliano wa Buzza 😅😅🙈. Nilikwambia vijihera vya vocha ntakupa hata daily na bahati nzuri suala la mkuyenge kwangu uhakika lakini ukaziba masikio...... Yote kwa yote kuombwa mbumbusi ni muhimu asee 🏃
 
Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.
Sjapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nn Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie cm usiku ninamke Mara naogopa tutagombana
Wakat inbox unanitongoz unadai upo single chefu[emoji25]
Alafu wanaume wa jf ni waongo jamani anajifanya moyo mpweke anajibebisha uko Bobo anakuita ili umpelekee chini tu

Asa we nae unawatoto 4 uko Italia mala Sudan[emoji119] ulivyo muongo afu eti Sina mke natak uwe mke wangu
Mtchewwww[emoji57] Apo Apo usipige cm nipo kazin mala saiv usik babe,babe ya nyoko[emoji25] MNITUE NA INBOX YNGU NAFUNGA

yani jf kwa kuact magenius kumbe makopo

Afu nawewe nikikuona umekomment hii post ntakuaibisha kwa kuniomba omba vocha eti unibembeleze usiku nilale ka pono[emoji57] kwanza umenshangaza toka lini mnyakyusa ukajitia mkorogo Tena mwanaume
Alokwambia natak kubembelezwa nilale kwani kufunga macho mi sijui

Yani jaman ukiomba mchumba jf shughuli ipo

Aaah wakaka awatak upendo kwanza first day wanatak [emoji97][emoji533]
Ukimwi hautaisha
MTU ata ujawai mwona
Humjui ndo first date na [emoji97][emoji533] unaomba [emoji57] chefu
hii siyo kweli naomba ukanushe hii post Yako ..Naomba niwe wa kwanza kujiondoa kwenye hii tuhuma nzito..Serious am not among the one unaowatuhumu..Please twamaliza Mwaka please ungewataja hao kuonyesha kuwa wameonyesha utoto kuliko kutuingiza ambao siyo wa makundi hayo. Ni heshima mkawa very clear than generalisation ni ungwana na ukomavu wa akili na afya ya Akili. Hii kasumba siyo nzuri kabisa tunaichukulia JF kama Badoo au Facebook wakati ni Jukwaa kubwa na lenye heshima kubwa Duniani. Mkishindwana PM please acha kuja na tuhuma ya Jumla.

Naomba niondolewe kwenye hiyo Tuhuma... Otherwise muwe mnafanya Due deligence kabla hamjaanza na hayo mahusiano yenu yakuombana kumbembelezan mara kupigiana usiku mara ya kutumiana vocha.
 
Pale mtego wa swala unapomnasa simba , mambo kama hayo ni lazima.
 
Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.
Sjapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nn Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie cm usiku ninamke Mara naogopa tutagombana
Wakat inbox unanitongoz unadai upo single chefu[emoji25]
Alafu wanaume wa jf ni waongo jamani anajifanya moyo mpweke anajibebisha uko Bobo anakuita ili umpelekee chini tu

Asa we nae unawatoto 4 uko Italia mala Sudan[emoji119] ulivyo muongo afu eti Sina mke natak uwe mke wangu
Mtchewwww[emoji57] Apo Apo usipige cm nipo kazin mala saiv usik babe,babe ya nyoko[emoji25] MNITUE NA INBOX YNGU NAFUNGA

yani jf kwa kuact magenius kumbe makopo

Afu nawewe nikikuona umekomment hii post ntakuaibisha kwa kuniomba omba vocha eti unibembeleze usiku nilale ka pono[emoji57] kwanza umenshangaza toka lini mnyakyusa ukajitia mkorogo Tena mwanaume
Alokwambia natak kubembelezwa nilale kwani kufunga macho mi sijui

Yani jaman ukiomba mchumba jf shughuli ipo

Aaah wakaka awatak upendo kwanza first day wanatak [emoji97][emoji533]
Ukimwi hautaisha
MTU ata ujawai mwona
Humjui ndo first date na [emoji97][emoji533] unaomba [emoji57] chefu
Akifanya vizuri, sifa anapewa yeye huko huko pm na Whatsapp. Akizingua, lawama zinakuja kwa wanaume wote wa JF.

Anyway, umesema wanaume wa JF sio wakweli, kwani umetoka na wangapi ambao walikuwa kama sample space ya research yako?
 
Hii kasumba ya kutuhuma wanaume wote wa JF ni ukosefu wa ukomavu wa akili kabisa.. Umefuatwa pm cha ajabu badala ya kumpokea mmoja mara umempokea wa Italia, mara wa Mbeya mara wa Mkoa gani mwingine sijui mnaambizana mumbembelezani hadi usingizi.. Matured Man hawezi kukupigia usiku eti akubembeleze ulale huyo ni hawa waliomaliza Vyuo majuzi sasa mkukutana nao msituhukumu siye wengine ambao Jua limeshazamaa na hatuna hizo slay life
 
Ila wewe sijawahi kukuona ukitafuta kamchumba!!, Au wewe ni sister?.
🤣🤣🤣🤣🤣 Mimi napendelea kukaa single... wachumba sitaki kabisa. Si unaona mambo ya kudanganywa, Italy kumbe yuko Bonyokwa...
 
Hahahaaa...😂😂😂😂😂
It's wanaume wa JF agaaaaaain...!!
Mie nikae zangu na popcorn za kutosha hapa kivulini....!!🍿
Dada jaman tuelezee kidogo hawa wanaume wa huku walichokufanya😂au wew huna ushuhuda
 
Back
Top Bottom