Wanaume wa humu mna dharau sana

Wanaume wa humu mna dharau sana

Dah😂😂😂
ndio zarau zenyewe hizi anazozisemea
Hamna mpwa, kama mtu hajui kuthaminisha kitu tunamwambia tu😅 kama ni kununua basi thamani halisi iangaliwe, kama ni mahusiano hapo ni upendo unatawala so haijalishi ni kiasi gani.
 
Inatakiwa Kepha Kayombo aje hapa bila yeye hakuna kitu kitaendelea..
 
Hamna mpwa, kama mtu hajui kuthaminisha kitu tunamwambia tu😅 kama ni kununua basi thamani halisi iangaliwe, kama ni mahusiano hapo ni upendo unatawala so haijalishi ni kiasi gani.
hatakama ndio hadi 40k ya kuionea huruma kweli kwa mrembo kama huyo,.
Anko punguza dharau sie tunataka Antie mdogo saizi😁
 
hatakama ndio hadi 40k ya kuionea huruma kweli kwa mrembo kama huyo,.
Anko punguza dharau sie tunataka Antie mdogo saizi😁
Nawasaidia tu vijana, kwa uzee huu labda kulamba asali tu ndio naweza😅😅😅
Nashauri atafute upendo, ule wa dhati kabisa, hata jf kuna vijana wanaweza kupenda.
 
Maria Bwana, akishapewa kibend hutamsikia
kwanza atatamani aikimbie id yake,. maana vijana watakuja kumfungulia uzi na mapdf ya hadi Lodge waliyoenda kunjunjana watayaweka hapa😂😂
 
Back
Top Bottom