Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,418
- 4,113
- Thread starter
- #201
Ndiyounataka kumalizia na mimi?
Ndiyounataka kumalizia na mimi?
Sawa njoo pembeni hukuNdiyo
wanakuumiza na maneno poleKuumia na nn
Kawaidawanakuumiza na maneno pole
WapSawa njoo pembeni huku
prime minister (pm)
Nani kakuonesha tabia "mubaya" kadadaa!?Tema mate nimchape.Habari za muda huu
Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara.
Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe hawajui,mtu badala akubembeleze analazimisha kama vile anakujua,
Wengine ni kutamka pesa zao wakidhani kila mtu anavutika na pesa.
Jifunzeni kutongoza na kujieleza vizuri siyo kila mtu anapenda pesa.
Pesa tunapenda ndiyo lakini siyo za kuhongwa ndiyo maana tunafanya kazi.badilikeni
Sitakprime minister (pm)
sawaSitak
Usijisumbue babaJumapili ya leo kuna 50K hapa haina kazi, mleta mada njoo pm tuyajenge
SawaMarry kwenye hilo kundi "count me out" sipo.
40k? Kajifunze kwanza value for money mkuu!View attachment 3359800
KAMA KWELI HII PICHA NI YAKO 100K NLOKWAMBIA HAPANA, KULA 40K MAMTU
Unajirushaweeee,. em nipasie kwanza mmoja hao wanaotamka hela niruke nae chap
Type yangu kabisa huyo😋😋
Dah😂😂😂40k? Kajifunze kwanza value for money mkuu!
Niambie basi la mama,. Unaachaje hela na weekend kama hii mahii 🥲??Unajirusha