Wanaume wa enzi hizo mpo bado au yalishawafika? Tujuzane!

Wanaume wa enzi hizo mpo bado au yalishawafika? Tujuzane!

Atlast nimempata

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
585
Reaction score
1,164
Zamani wanaume wenye familia tulikuwa tunanunua vitu kwa jumla, mchele kilo 50, unga kilo 25, sukari kilo 25, mafuta ya kula lita 20, sabuni kiroba kizima, sabuni carton nzima, ges mtungi wa kilo 30, nk, nk na mambo yalikuwa shwari kabisa familia haina shida.

Sasa jifanye unanunua vyote hivyo ndo utakuwa mwanzo wa kuua familia maana wanawake wa siku hizi Ukifanya hivyo huyo mama ataenda mtaa wa mbali na kufungua genge au duka na kupiga nusu ya kila kitu na kuanza biashara! Ziko familia nyingi zimeshindwa kuvuka baada ya mume kugundua 😣
 
Zamani wanaume wenye familia tulikuwa tunanunua vitu kwa jumla, mchele kilo 50, unga kilo 25, sukari kilo 25, mafuta ya kula lita 20, sabuni kiroba kizima, sabuni carton nzima, ges mtungi wa kilo 30, nk, nk na mambo yalikuwa shwari kabisa familia haina shida. Sasa jifanye unanunua vyote hivyo ndo utakuwa mwanzo wa kuua familia maana wanawake wa siku hizi ni zaidi ya vichaa. Ukifanya hivyo huyo mmama ataenda mtaa wa mbali na kufungua genge au duka na kupiga nusu ya kila kitu na kuanza biashara! Ziko familia nyingi zimeshindwa kuvuka baada ya mume kugundua 😣
Na sisi wanawake tunaofanya Ivo tupo☺️
 
Ukiona unanunua sijui mchele kilo moja moja au unga na sukari,
Tafuta hela. Maisha yamekugonga.

Wadada weng na wenye Familia Wengi huwa na budget, kwahiyo Fungu likiingia tu basi cha kwanza ni kulipia Bill zote za kujikimu za Home, + Chakula .nk

Kwahiyo huo utaratibu weng tunaufuata.
 
Ukiona unanunua sijui mchele kilo moja moja au unga na sukari,
Tafuta hela. Maisha yamekugonga.

Anyway kila mwenye Familia anakuwa na budget yake, fungu likiingia ni kulipia Bill zote za kujikimu za Home, + Chakula .nk

Kwahiyo huo utaratibu weng tunaufuata.
Ongera zako kama unaufuata na ujagundua dosari
 
Zamani wanaume wenye familia tulikuwa tunanunua vitu kwa jumla, mchele kilo 50, unga kilo 25, sukari kilo 25, mafuta ya kula lita 20, sabuni kiroba kizima, sabuni carton nzima, ges mtungi wa kilo 30, nk, nk na mambo yalikuwa shwari kabisa familia haina shida. Sasa jifanye unanunua vyote hivyo ndo utakuwa mwanzo wa kuua familia maana wanawake wa siku hizi ni zaidi ya vichaa. Ukifanya hivyo huyo mmama ataenda mtaa wa mbali na kufungua genge au duka na kupiga nusu ya kila kitu na kuanza biashara! Ziko familia nyingi zimeshindwa kuvuka baada ya mume kugundua 😣
Wee ukifanya hivyo uswahilini kwenye nyumba za kupanga utashambuliwa na kuulizwa kwani Tanzania kuna vita?

Nyau de adriz
 
Back
Top Bottom