Watu wa Dar Hivi Ex Ni nani?

Watu wa Dar Hivi Ex Ni nani?

G

guest-1791802738

Guest
Watu dar naomba kuwauliza ivi ex ni nani..?Ni mwanaume/Mwanamke ulielala nae au uliempenda au kuishi nae Kisha mkaachana ndio mnamuita ex..?

Ex wangu fulani Kwa kigezo kipi mpaka awe EX..??

Mtusaidie watu wa mikoani mana wengi hatuelewi šŸ™ Hatuna cha kuwalipa ila mkija mkoani kwenye misiba tunawaahidi mtakuwa wa kwanza Kula ili muwahi kurudi dar..
 
Jamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,
Unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana.
Unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake šŸ˜…
 
Utajua wewe šŸ˜‚
 
Kwa Dar sisi hatuna Ex na hatujawahi kuwa single wala kuwa na mtu, ni vile unavyokuja ndivyo tunavyokupokea.
šŸ˜‚ Wakija kwenye msiba wako tutawapa chakula haraka ili warudi dar Wakaendeleze ulipoishia mkuu..
 
Back
Top Bottom