Wanaume wa Dar ni akina nani?

Wanaume wa Dar ni akina nani?

Wapenzi wangu, habarini

Msemo huu unazidi kuwa maarufu siku baada ya siku. Mwanzoni sikuutilia maanani sana.

Juzi nilikuwa kijijini kwetu, kijijini kabisaa!! Nikamsikia kijana mmoja anamwambia mwenzake "... Mimi sio mwanaume wa Dar..."

Leo nikiwa katika daladala, yakatokea Majibizano kati ya Kondakta na abiria.

Pamoja na maneno mengi Kondakta aliyoongea, neno hili nililishika ipasavyo "... Mimi siwezi kujibizana na wanaume wa Dar.."

Swali langu, mwanaume wa Dar ni nani? Anatambulikaje?
Ina upana wake ndio maana wengine wanahamia Dodoma.
Kazi kwa watakao baki.
 
Wengine ni hawa hapa
 

Attachments

  • IMG-20160726-WA0010.jpg
    IMG-20160726-WA0010.jpg
    54.4 KB · Views: 42
Wanakula kashata, mahindi ya kuchoma kwa pilipili na ndimu Pia wanakunywa sanaa mchuzi wa pwezaa hao ndio wanaume wa dar slam
 
daaah! ili battle sijui litaisha lini!!!

lakin apparently wanaume wa mkonia mna wivuuu!!
 
Eti mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe naomba ujibu hili SHETANI IBILISI kila mahali anakemewa na kulaaniwa si msikitini kanisani je na yeye ni mti wa matunda?
Shetani ibilisi ndio kitu gani? Ushawahi kuona shetani ibilisi? Siwezi kuzungumzia vitu visivyothibitika.
 
Back
Top Bottom