juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,477
Mwanaume wa dar ni watu kama sisis ambao ni soft na nimaHB kama Mimi juvenile Davis
Unajua sababu za mikoani kuitwa mikoani? Au unafikiri ni jina lililotungwa na serikali inayohama? Wakazi wa Dar wwliotoa jina bado wapo. Wa Dar mtabaki kuwa wa Dar na uzembe wenu na sisi wa mikoani tutabaki mikoaniNa serikali ina amia dodoma that means dar itakuwa "MKOANI"
Mna matatizo sana watu wa mikoani, debe la mahindi unauza buku 5000,kilo ya pamba tsh 700/= shamba lenyewe likijitahidi eka moja gunia tano haya hela ya kumnunulia bia au kuhonga demu wa kidaslaam unapata wapi, kama umebahatika kutembelea hapa mjini ndugu unaenda kununua mademu zenu wa mikoani wanaotafuta maisha pale Buguruni,Sokota,Sinza,Tandika buku 3000/= Pombe zenu kibuku,chimpumu,komoni,mbege,ulanzi.Mademu wa Dar gharama lazima unukie fedha.Wadar slaam wanatafuta hela kwa mipango na akili ndio maana wanamiliki masofa sio vigodaKabla ya haya mambo mnayo jisifia jitahidini kutafuta pesa sio kulala kwenye kochi usiku mtu mzima kwenye nyumba ya wazazi
Huwa inakera sana mnavyo omba omba bia clubs tukija sisi wa Bara hapo mjini kuuza mazao yetu
Ndiyo maana tunawachapia easily mademu wenu ehehehehe
Huku Dar tunaamini wanaume wa wakenya ndio wanongoza kwa kuolewa barani Afrika,kupigwa na wake zao,kuunda vyama vya kutetea wanaume wanaonyanyaswa na wanume na then tunajua kuwa mademu wenu wana sura mbovu na wakakamavu kama beberuHapa kenya shoga ndiye anatambulika kama mwanamme wa Dar. Tunaamini wao ndio wasengeh wakuu Africa.
Hahahhhahahhaha,umenifurahisha linwanajitapa kwa kula tigo
napita...........................
Nasikia mpaka gavana wa Nairobi pia ni shoga la kutupwa na huko hamjifichi:http://www.politics.co.ke/opinion/t...eside-2016-gay-pride-parade-event-us-embassy/Hapa kenya shoga ndiye anatambulika kama mwanamme wa Dar. Tunaamini wao ndio wasengeh wakuu Africa.
MhhMna matatizo sana watu wa mikoani, debe la mahindi unauza buku 5000,kilo ya pamba tsh 700/= shamba lenyewe likijitahidi eka moja gunia tano haya hela ya kumnunulia bia au kuhonga demu wa kidaslaam unapata wapi, kama umebahatika kutembelea hapa mjini ndugu unaenda kununua mademu zenu wa mikoani wanaotafuta maisha pale Buguruni,Sokota,Sinza,Tandika buku 3000/= Pombe zenu kibuku,chimpumu,komoni,mbege,ulanzi.Mademu wa Dar gharama lazima unukie fedha.Wadar slaam wanatafuta hela kwa mipango na akili ndio maana wanamiliki masofa sio vigoda
Hehehee ndo wanaita selfie stick sijui, mwee nimechekaWanapenda kupiga selfie kwa kuweka simu kwenye fimbo ndefu!
huyo jamaa alienda majuu miaka ya 80s hivi. maybe he is gay for pay. kenya twafanya kila kitu bora pesa. nakwambia huku ukisema wewe mwanamme wa dar, waanza kufungiwa jicho.Huku Dar tunaamini wanaume wa wakenya ndio wanongoza kwa kuolewa barani Afrika,kupigwa na wake zao,kuunda vyama vya kutetea wanaume wanaonyanyaswa na wanume na then tunajua kuwa mademu wenu wana sura mbovu na wakakamavu kama beberu
View attachment 372169
Shoga la Nairobi lililoolewa
Hahahah Kwa Kula Kashata.. na Mahindi kwa Pilipili na Ndimu.. na Kuwakimbia Panya RoadWanaume wa dar ni wakakamavu
Wewe ndio unaona tumelegea? njoo na mlegezo uone tutakavyokufanya... pulu lako... Dar ina raia zaidi ya 5million so hawawezi fanana wote kuna raisi,Waziri Mkuu,Wabunge,Makatibu wakuu,mabondia,wana wa Manzese,Keko,Kariakoo huku lazima utumie akili nyingi uishi hakuna ujinga ujinga mtu anaweza uje kumpotezea muda wa kwenda kasi... Akili zenu za Kijinga mnadhania watu wa Dar ni Walegevu pole Sana Umepotea kama wamtumainio Mungu kuwa Yupo atawasaidia au anawasaidia... Hakuna Fanya kazi ya kuleta pesa akili zaidi Nguvu Kidogo Nguvu zinatumika zinapohitajika kwa wakati MuafakaMnapaishwa ndio. Endeleeni kulegea maana ndo mnavyopenda hivyo
Unamsimulia nani Dar? Mi ndo siijui na wanaume wake? Kwa taarifa yako naweza fika Dar nikatoka na wewe ukaonekana mshamba sana. Tatizo wanaume wa Dar mnaamini kujua mji ndo kila kitu. Hao wa Manzese wanaokula kuku wa kisasa tena vibudu vinavyouzwa barabarani, huko keko mnashindia kiepe yai la kizungu, Kariakoo mnasogea Mnazi mmoja jioni kupata supu ya pweza, n.k ndo mnajiona wabishi. Kuna dem wa mtu ananitaka nije kumkuna. Will be there this weekend alafu nageuza Jpil nisije kuadopt tabia zenu.Wewe ndio unaona tumelegea? njoo na mlegezo uone tutakavyokufanya... pulu lako... Dar ina raia zaidi ya 5million so hawawezi fanana wote kuna raisi,Waziri Mkuu,Wabunge,Makatibu wakuu,mabondia,wana wa Manzese,Keko,Kariakoo huku lazima utumie akili nyingi uishi hakuna ujinga ujinga mtu anaweza uje kumpotezea muda wa kwenda kasi... Akili zenu za Kijinga mnadhania watu wa Dar ni Walegevu pole Sana Umepotea kama wamtumainio Mungu kuwa Yupo atawasaidia au anawasaidia... Hakuna Fanya kazi ya kuleta pesa akili zaidi Nguvu Kidogo Nguvu zinatumika zinapohitajika kwa wakati Muafaka
Yaani Wanaume wa Dar sijui mpoje.. Unaanza vipi kusema mwanaume mwenzako ana Wivu.. kwanza neno wivuu linatoka sanaa midomoni mwa Wanawake..daaah! ili battle sijui litaisha lini!!!
lakin apparently wanaume wa mkonia mna wivuuu!!
We unaishi wapi? Kama unaishi Dar naamini una mahusiano na mmoja wa wanaume wa Dar. Sasa huko kijijini ulikokwenda, pata mwanaume wa kijijini, fanya mahusiano naye. Hapo sasa, utaifahamu tofauti ya wanaume wa Dar na wengine nje ya Dar!Wapenzi wangu, habarini
Msemo huu unazidi kuwa maarufu siku baada ya siku. Mwanzoni sikuutilia maanani sana.
Juzi nilikuwa kijijini kwetu, kijijini kabisaa!! Nikamsikia kijana mmoja anamwambia mwenzake "... Mimi sio mwanaume wa Dar..."
Leo nikiwa katika daladala, yakatokea Majibizano kati ya Kondakta na abiria.
Pamoja na maneno mengi Kondakta aliyoongea, neno hili nililishika ipasavyo "... Mimi siwezi kujibizana na wanaume wa Dar.."
Swali langu, mwanaume wa Dar ni nani? Anatambulikaje?
wanaume wa Dar wanafanya mashindano ya kula chips yai...
yaani naniii zao zimelegea mfano wa chips yai...