huyu mara nyingi huwa sio mzaramo,japo pia anaweza kuwa,ni mtu wakuja tu hapa downtown dar es salaam...yeye ata shilingi mia anapiga...anatafutapesa aibadili jana...is too focus kuishi large life kwa gharama yoyote,hapo ndio uleta shida wengine uvuka mipaka na kufanya magumashi tulie ethical what we do we hustle hard...actually tunapesa,and some time we spend enough...we cares our family kuipeleka out hapa na pale huwa tunahakikisha mke au girlfrnd ni mzuri na dressing codes za kutosha...tunanukia manukato popote ukitukuta...hatuko shabby,mara chache sana tukitembea kwa miguu tunajipiga piga vyovyote vile gari inahusika ata kama passo tumiliki,huwa hatukimbilii kujenga ilimradi nyumba(woga wa maisha)...tukiwahi sana tunajenga nyumba flan hivi tunaziita crib...ni watanashati,its cardet and jeans...wakiofsini chini ni travota....maeneo ya msoso utakuta Katalunya kama wako less sana watabe burger za bamaga...hawashinda kula wanashinda pesa na maendeleo...wanashule kichwani hawasomi kwa sifa wanasoma kwa malengo account zao haidrop m ukimkuta ndio anaanza...tunapenda kweli hatupigi mechi kama vita,tunapiga show too romantic sio za kama kesho hutopewa tena...tuna wadada wetu ambao hawajakatwa ile ndude,wao wanapenda vitu lain sio vyakukamia ma mitishamba...Huyu ndio mwanaume wa darslama