Wanaume wa Dar mlio JF mtakao itikia wito wa rc

Kwa wale wanaume wa Dar mtakaoenda kupimwa tezi dume wekeni majina yenu hapa.
Watu wa dar hii inawahusu kipimo cha tezi dume
255784410223_status_e0113cdb280d40532cd095d53b42d006.jpg
 
Lakini wanaume wa dar wanajua watapima vzr tu kuuga jitihada za mkuu kama wanawake wa dar walivyojitokeza
 
Kipindi cha kukagua silaha baba Jen alienda na akaonesha na kujitangaza, sasa ngoja tuone na kipindi hiki kama ataenda
 
Kwa vijana kati ya 25-35 kupima sio mbaya,

kuanzia 40 kwenda juu ni bora kama husikii tatizo lolote ukauke tu,kwani Tezi dume linachukua hata miaka 30 kuonekana tatizo nna likianza kusumbua tayari uko kwenye 65-80,

sasa ukipekenyua na kugundua dalili ndo uanze matibabu,mara mionzi etc,utashangaa litakavyokupeleka faster faster
 
Back
Top Bottom