Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,743
- 2,681
Aisee - kumbe bora Sisi wanaume wa PEMBA. Kumbe wa Dar ndio wako hivi?
Miongoni mwa takataka za dar ni wanaume WA dar ! Kelele nyingiiiii home ugali wa hamira na dagaaa yani hata comments zao ni balaaa tupuMbeya iliyomdanganya Sugu wataanzisha vurugu asiende jela? Halafu wakamsusa
Saa tano hii unapata wapi muda wa kuchati na WiFi ya kijiji haiwashwi hadi wote mtoke shamba?Miongoni mwa takataka za dar ni wanaume WA dar ! Kelele nyingiiiii home ugali wa hamira na dagaaa yani hata comments zao ni balaaa tupu
Jana gulio nipo wk end nakula faida tumesha vuna mm nalima maharage ya njano nina gunia sabini current value 14 mil nasubiri bei iwe juu!!? NilikuaMkazi wa dar kwetu maduka mawili changombe ila mm nimejenga CHANIKA pia ni mtumishi WA umma karibu mkoani utafurahi aiseeeSaa tano hii unapata wapi muda wa kuchati na WiFi ya kijiji haiwashwi hadi wote mtoke shamba?
Gulio jumamosi naona jembe linakusahaulisha jana ulikua wapi.Jana gulio nipo wk end nakula faida tumesha vuna mm nalima maharage ya njano nina gunia sabini current value 14 mil nasubiri bei iwe juu!!? NilikuaMkazi wa dar kwetu maduka mawili changombe ila mm nimejenga CHANIKA pia ni mtumishi WA umma karibu mkoani utafurahi aiseee
Hahahahaa Aiseee cjapanik bana njoo Aiseee nipo mwanga net full njoo KILIMO Hakikutupi ukichanganya na salary inakua byeee jijilenu lilinishinda hahssGulio jumamosi naona jembe linakusahaulisha jana ulikua wapi.
Umetoa wapi internet muda wa shamba wewe?
PS. Hii ni komedi naona umeanza kupaniki.
Aise kuna ile video jamaa anashushiwa rungu na mgambo wa makonda.
Huwezi amin wanaume wapo tu wamekuja mikono, bora hata yule mama alokuwa anapiga kelele.
Aise Hamna msaada kabisa mtu anaweza kuuwawa kizembe afu muanze kusingizia police wamekuwaje sijui. yule mgambo alistahili kipigo kitalatifu, maana ni muuaji yule.
Na wabaki hukohuko dar wakija huku mkoa tutawagawana kama pilau la IDD
Kweli aisee sijui Kwann wanaume wa DSM wapo hivoo. Nimeangalia video ile sikupata picha..Aise kuna ile video jamaa anashushiwa rungu na mgambo wa makonda.
Huwezi amin wanaume wapo tu wamekuja mikono, bora hata yule mama alokuwa anapiga kelele.
Aise Hamna msaada kabisa mtu anaweza kuuwawa kizembe afu muanze kusingizia police wamekuwaje sijui. yule mgambo alistahili kipigo kitalatifu, maana ni muuaji yule.
Na wabaki hukohuko dar wakija huku mkoa tutawagawana kama pilau la IDD
Itabidi nikutafute unipe mwanga juu ya maharage ya njano, nyumbani tumefululiza kulima mahindi na tumefululiza kupata hasara.Hahahahaa Aiseee cjapanik bana njoo Aiseee nipo mwanga net full njoo KILIMO Hakikutupi ukichanganya na salary inakua byeee jijilenu lilinishinda hahss
😀😀I wish ningekuepo yule mgambo muda huu ndio ingekua ibada ya kumuaga
Sent using Jamii Forums mobile app
fikra za kimaskini hizi. We unawaza ngono tu.ukijua bongo tunakubebea mkeo labda umuache uko uko kolomije
fikra za kitajiri ni zipo bro ? em nitajiefikra za kimaskini hizi. We unawaza ngono tu.