Wanaume wa Dar hovyo sana

Wanaume wa Dar hovyo sana

Wa dar unaweza kupanga nao dili la roho ngumu lakini mkifika kwenye tukio unajikuta uko mwenyewe.wengi wao sio jasiri maneno mengi tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nakubaliana na wewe maana nna jamaa yangu mwanaume kutoka Dar kaja mkoani sa kuna siku tumepanga kupiga mitikasi fulani ili tupate hela siku mbili kabla jamaa alikua na makeke sana akijinasibu atakavyokamilisha mission tena siku 1 kbla ya hiyo mitikasi jamaa kapiga na bangi ili kunionesha yuko masinondo. Ila cha kushangaza siku ya siku hkuoneka(aliingia mitini)
Mi mwanaume nkaingia chimbo nkapiga mzigo after week 2 nkarud kitaa huku nna mawe kama yote. Jamaa akaanza kushangaa na kunipa excuses kibao mara ooh niliumwa mara next time tutaenda ila mi nkaamua kumpotezea maana alikuwa mwongeaji mzur ila action zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise kuna ile video jamaa anashushiwa rungu na mgambo wa makonda.

Huwezi amin wanaume wapo tu wamekuja mikono, bora hata yule mama alokuwa anapiga kelele.

Aise Hamna msaada kabisa mtu anaweza kuuwawa kizembe afu muanze kusingizia police wamekuwaje sijui. yule mgambo alistahili kipigo kitalatifu, maana ni muuaji yule.

Na wabaki hukohuko dar wakija huku mkoa tutawagawana kama pilau la IDD
Kuna mgambo mmoja mwanza aliharibu kikatili matikiti ya mama mmoja mjane sokoni,nilipoingilia akanitishia akiwa na wenzake,nikajifanya fala nikakaa kimya wakaondoka,walikuwa watatu na marungu yao,Mimi nikawa nawafuatilia kwa nyuma bila wao kujua,wakafika eneo moja pweke lisilo na watu nikapiga mluzi wakageuka nyuma kisha nikawapa ishara ya kusimama,wakanisubiria.
Nilipowafikia nikawaambia walipe gharama zote za kuharibu Yale matikiti ,mmoja wao akanijia juu na kunihoji Mimi nawapa amri kama nani?nikamwambia niliepuka kuwafundisha adabu ktk halaiki ya watu maana police wangekuja,aah kutahamaki nikashtuka mmoja kanipiga rungu mgongoni,nikawaambia ngojeni niwafundishe kuwa Japan sikwenda kuosha vyombo,aisee nilichowafanya wale mgambo hakika ingekuwa ktk halaiki ya watu kila mtu angenigeuka,ndani ya sekunde chache walikuwa chini wakigalagala huku mmoja aliyekuwa kanipiga rungu akiwa kavunjika mkono kabisa,nilimvunja mkono kikatili,kisha nikakimbia na kutoweka,huwa nawatamani sana hawa wasiojulikana waingie kwenye 18 zangu.

Acha unafiki, yule mtoto alipochapwa hadi kifo mlichukua hatua gani huko mliko?
 
Napitia tu ila sijui wanaume wa wapi waliwekwa chooni mpaka naibu waziri kaja kuwatoa

Kiuhalisia watanzania tunamapungufu sana si wa mikoani wala wa Dar hali ni hiyo hiyo hao mnaowaita wa Dar uliza katoka wapi kama sio mkoani
Ha ha ha ha ha ha ha ha tena walilalamika wamenyimwa na maji safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha unafiki, yule mtoto alipochapwa hadi kifo mlichukua hatua gani huko mliko?
Nani alikwambia wazazi wanakaa shuleni. In short nyie bureee kabisa. Afu swala la kuwekwa chooni na mamlaka huwezi linganisha huenda walikuwa wakossji kweli hiyo ni lock up, ila ujinga ulofanywa na mgambo yule hovyo kabisa.
 
Unajua huko mikoani baada ya kulima mtu anabaki na muda mwingi wa mapumziko hivyo ni rahisi sana kununua hata ugomvi usiomhusu.
Ila kwenye miji mingi watu wanastrugle kutafuta hela anaona kuingia kwenye mambo yasiyomhusu itamgharimu muda na fedha vile vile hivyo anaamua kuacha. Ila sio kwamba hawezi kufanya lolote.

Kinacholindwa ni muda.
Punguzeni kuwagongea ndg zetu wa mkoani
Hasira zao ndy hizo.....hakuna la zaidi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mgambo mmoja mwanza aliharibu kikatili matikiti ya mama mmoja mjane sokoni,nilipoingilia akanitishia akiwa na wenzake,nikajifanya fala nikakaa kimya wakaondoka,walikuwa watatu na marungu yao,Mimi nikawa nawafuatilia kwa nyuma bila wao kujua,wakafika eneo moja pweke lisilo na watu nikapiga mluzi wakageuka nyuma kisha nikawapa ishara ya kusimama,wakanisubiria.
Nilipowafikia nikawaambia walipe gharama zote za kuharibu Yale matikiti ,mmoja wao akanijia juu na kunihoji Mimi nawapa amri kama nani?nikamwambia niliepuka kuwafundisha adabu ktk halaiki ya watu maana police wangekuja,aah kutahamaki nikashtuka mmoja kanipiga rungu mgongoni,nikawaambia ngojeni niwafundishe kuwa Japan sikwenda kuosha vyombo,aisee nilichowafanya wale mgambo hakika ingekuwa ktk halaiki ya watu kila mtu angenigeuka,ndani ya sekunde chache walikuwa chini wakigalagala huku mmoja aliyekuwa kanipiga rungu akiwa kavunjika mkono kabisa,nilimvunja mkono kikatili,kisha nikakimbia na kutoweka,huwa nawatamani sana hawa wasiojulikana waingie kwenye 18 zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa nimecheka sana mkuu eti Japani sikwenda kuosha vyombo ............... Kama naona vile migambo walivyopata tabu kwa kipigo kikali cha judo ya kijapani ........ 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom