Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,938
mkuu umefurahi hahaHahahaha
mkuu umefurahi hahaHahahaha
mkuu umefurahi haha
karibu sana, naitwa avatarMkuu hapa JF ni stress free zone
karibu sana, naitwa avatar
huku sisi hatutaki tabu kabisaaa.....Nimekuona mkuu mwanaume wa Dalisalama
Hahaha
huku sisi hatutaki tabu kabisaaa.....
hadi tikiti maji tunakamua juisi tunanywea kwa mlija
upo mkoa gani wewe?? maana mikoani kote sio mikoan kwingine ni sawa na daslam tuuHuko Dalisalama teknolojia ipo juu mkuu
Huku mikowani bado tunadumisha mila
Usiku mwema mkuu..ngoja nisinzie..kuni zimeisha huku kijijini hakuna stima...nimoto wa magogo.
Kule kijijini kwenu mnakula ugali uliopikwa kwa mahindi au mpaka mkobolewe?mwanaume wa dar
Kule kijijini kwenu mnakula ugali uliopikwa kwa mahindi au mpaka mkobolewe?
upo mkoa gani wewe?? maana mikoani kote sio mikoan kwingine ni sawa na daslam tuu
imenibid nikufanyie ivi maana unadharau
imenibid nikufanyie ivi maana unadharau
basi badala ya kula ugali muwe muwe mnakula mahindi,
badala ya kukoboa mpunga mashineni muwe mnakoboa kwa mikono,
badala ya kununua cha kukunia nazi muwe mnauna kwa kucha zenu,
Maana haujua maana ya mashine, maana ya kurahisisha kazi, maana ya ku'save muda.
Siwashangai wanaokunywa juice ya muwa japo mi siwezi kwa ishu ya usafi tu
hahaha mkuu unaogopa kutaja ulipo ili nikutajie madudu yake eeMhh dalisalama pekee ndo kuna maajabu
Ya wenye vyeti feki kushika hatamu
hahaha mkuu unaogopa kutaja ulipo ili nikutajie madudu yake ee
kibiti???Hatari sana anamiliki wasiojulikana