miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
miss chagga, hivi ni kweli kuwa na wewe una sura ya simba dume yaani juu kifuani mpanaa lakini kwenye masaburi kwembamba kama wale wenzetu wa kishumundu? au wewe umepona ulemavu huo? pili, ni kweli kwamba watu wa huko kwenu hawajui mapenzi?
Hahaha ....leo umepokea sms ngapi za kuulizwa uko wapi? Na za kuambiwa umemissiwa, au mtu anataka muonane? ....am curious too!
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
Lazima utakuwa unatumia tiba m badala mtani sio bure......yaani uende kulala huku ukiwa heat.......!!!!!mtani ipo on kwa sababu nipo kwenye heat ila sijaita mtu naenda kulala..
hahaha, nilikuwa nakuchokoza nikisubiri unifurumushie matusi, kumbe kweli wewe uko mature umejibu tofauti nanilivyokuwa nategemea. OK, ni kweli leo kuna baridi kama ikikupendeza si vibaya tukawa wote miss chagga au hata ukishindwa leo basi hata weekend hii walau tule samaki ya kuchoma mahali. kuhusu mshiko usihofu upo wa kutosha alimradi tu unisaidie hii baridi imezidi aisee.ha hahahaha ,.. nipo ivo kama wengine mkuu.. na kweli huku kwetu hawajui mapenzi... sasa kwa nini leo mnalilia mbunye sana?
Lazima utakuwa unatumia tiba m badala mtani sio bure......yaani uende kulala huku ukiwa heat.......!!!!!
hahaha, nilikuwa nakuchokoza nikisubiri unifurumushie matusi, kumbe kweli wewe uko mature umejibu tofauti nanilivyokuwa nategemea. OK, ni kweli leo kuna baridi kama ikikupendeza si vibaya tukawa wote miss chagga au hata ukishindwa leo basi hata weekend hii walau tule samaki ya kuchoma mahali. kuhusu mshiko usihofu upo wa kutosha alimradi tu unisaidie hii baridi imezidi aisee.
Kwa wote wamezaliwa dar
sosoliso leo sipiti mpaka mvua ziisheHa ha ha.. Kwa waliozoea baridi hawana tatizo kama hilo.. Kwa watu wa pwani tuliozoea joto tunahitaji blanket chapa mtu ili kuweza kuweka miili yetu kati hali ya joto..
btw miss chagga naomba upitilize kwangu moja kwa moja.. Ai kanti savaivu na baridi hili na vile vile siwezi kuchepuka..
hizo sms zangu nilizotuma leo
yaani simu yangu hashiki mwanamke
aibu naona mimi
kumbehizo sms zangu nilizotuma leo
yaani simu yangu hashiki mwanamke
aibu naona mimi
Huwezi amini mtani mpaka sasa sijanasa device hata moja....ingawa signal zipo juu sana.......dah!ndiyo mtani sina mbadala mtani .. kwa wewe leo umeshaisimamisha ukifika tu unaanza?
hujaitwa nini?
Huwezi amini mtani mpaka sasa sijanasa device hata moja....ingawa signal zipo juu sana.......dah!
Mwenyewe napata kibaridi hapa duh