KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,098
- 40,758
Ngoja niisogeze karibu device yangu......naweza kubahatisha device yako..........Mwenyewe napata kibaridi hapa duh
Ngoja niisogeze karibu device yangu......naweza kubahatisha device yako..........Mwenyewe napata kibaridi hapa duh
Kama bahati vile nimenasa device yako mtani..........endelea kusearch mtani
Wakati wa baridi viungo vya uzazi ndio vinadaka mawimbi kisawa sawa na kusearch device........
Kama bahati vile nimenasa device yako mtani..........
Wanajiendekeza tu
Baridi iko wapi hapa
vaa sweta na kunywa konyagi
wenzio wanasikia baridi sana
Hahahah
Hawana lolote wanataka papuchi za bure bure tu
Kipindi hiki hata sim mtu unaogopa kupokea manaake unajua tuu jamaa "atataka kupima oil"
Nasubiria usiku niibuke mitaa fulani hv amazin (corner bar)
sosoliso leo sipiti mpaka mvua ziishe
Hata nyie kipindi hiki mnatamani shulba sana.
Kipindi hiki hata sim mtu unaogopa kupokea manaake unajua tuu jamaa "atataka kupima oil"
kwenye kitchen party za wenzio unapokwenda huko unaona wanafundishwa nini kuhusu utiifu kwa waume zao..? Usinilazimishe nichepuke..
Cc honey faith..
leo wanaongeza bei
sweta cna ngoja niwashe wi-fi
nione